DODOMA: Rais Magufuli azindua ofisi ya Rais (Ikulu) Chamwino na mji wa Serikali eneo la Mtumba

CDF: Yanayotokea nchi ya jirani(??Sudan) yanaweza kushawishi,waingereza wanasema ku-influence hali isiyotabirika ndani ya nchi yetu!! Kuna chokochoko zinazoendelea,tunazifuatilia.
CDF kayasema haya?!

Kama kayasema basi kuna kinachoendelea wengi hatukijui kuhusu haya mapinduzi ya kijeshi na upepo wake ktk Afrika . Tuombe Mungu tuwe na Mwisho Mwema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CDF: Yanayotokea nchi ya jirani(??Sudan) yanaweza kushawishi,waingereza wanasema ku-influence hali isiyotabirika ndani ya nchi yetu!! Kuna chokochoko zinazoendelea,tunazifuatilia.
...ndugu yangu toka Mbeya mjini alinena....
 
CDF: Yanayotokea nchi ya jirani(??Sudan) yanaweza kushawishi,waingereza wanasema ku-influence hali isiyotabirika ndani ya nchi yetu!! Kuna chokochoko zinazoendelea,tunazifuatilia.
Hata mimi nimeshtuka kidogo ila mimi mawazo yangu yalinifikirisha Rwanda na Uganda.
 
nasikia ikulu mpya ni mgongo wa tembo,huu ubunifu unaonyesha utamaduni halisi wa mtanzania
 
Hatimaye yametimia baada ya miaka 43..
 
Vipi wenzetu wa kule ng'ambo wamekosa majahazi ya kuvukia kuja kushiriki? Au wao si sehemu yetu tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…