Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDF kayasema haya?!CDF: Yanayotokea nchi ya jirani(??Sudan) yanaweza kushawishi,waingereza wanasema ku-influence hali isiyotabirika ndani ya nchi yetu!! Kuna chokochoko zinazoendelea,tunazifuatilia.
...ndugu yangu toka Mbeya mjini alinena....CDF: Yanayotokea nchi ya jirani(??Sudan) yanaweza kushawishi,waingereza wanasema ku-influence hali isiyotabirika ndani ya nchi yetu!! Kuna chokochoko zinazoendelea,tunazifuatilia.
Hakutaja nchi,ndo maana nimeweka kwenye mabano na alama ya kuuliza.CDF kayasema haya?!
Kama kayasema basi kuna kinachoendelea wengi hatukijui kuhusu haya mapinduzi ya kijeshi na upepo wake ktk Afrika . Tuombe Mungu tuwe na Mwisho Mwema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafahamu hilo ndiyo maana nikamjibu kiwepesi.ikulu ya Dodoma imejengwa Achana na taarifa za uchocholoni.
Ila kasema hayo mengine ?! I mean ulioanidka mbali na yaliyo kwa mabano?Hakutaja nchi,ndo maana nimeweka kwenye mabano na alama ya kuuliza.
Hata mimi nimeshtuka kidogo ila mimi mawazo yangu yalinifikirisha Rwanda na Uganda.CDF: Yanayotokea nchi ya jirani(??Sudan) yanaweza kushawishi,waingereza wanasema ku-influence hali isiyotabirika ndani ya nchi yetu!! Kuna chokochoko zinazoendelea,tunazifuatilia.
Mi pia nawaza Rwanda na UgandaHata mimi nimeshtuka kidogo ila mimi mawazo yangu yalinifikirisha Rwanda na Uganda.
hayo mengine kayasema akiwa ametulia,kwa utulivu mkubwa. Hata mie nilishtuka.Ila kasema hayo mengine ?! I mean ulioanidka mbali na yaliyo kwa mabano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jambo litakuwa linaendeleahayo mengine kayasema akiwa ametulia,kwa utulivu mkubwa. Hata mie nilishtuka.
Rais wa Nchi Dr. JOHN MAGUFULI leo hii tarehe 13 Aprili anazindua rasmi ofisi za Rais Ikulu Makao Makuu Chamwino Dodoma.
Pia Rais Magufuli anazindua mji mpya wa Serikali eneo la Mtumba.
Hii ni kuashiria kuwa ni rasmi sasa Rais anahamia Dodoma, makao makuu ya nchi.
Matukio haya yanashuhudiwa na viongozi wote wakuu wa nchi akiwemo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Fuatilia uzi huu kwa updates.
updates......
Rais na msafara wake ameshawasili hapa na sasa ni dua maalum kutoka kwa viongozi wa dini
Ya DSM nipo tayari kununuaHatimaye yametimia baada ya miaka 43..