Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

Hii kauli ya mama imeongea mengi sana

Kumbe wale vichaa wakitumbuliwa wanaona ni kwasababu ya kabila lao[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Yamemfika...yamemfikia..!!! Kaamua kutema nyongo apate ahueni...apate afueni...!
 
Kabisa na tuliona hili mapema
 
Umtoe Kalemani umlete mhuni makamba 😄😄😄.Ukweli tuuseme tu Kalemani katolewa pale kwa sababu ya usukuma wake. Sipendi ukabila lakini hilo liko wazi, muda utaongea
 
Umtoe Kalemani umlete mhuni makamba [emoji1][emoji1][emoji1].Ukweli tuuseme tu Kalemani katolewa pale kwa sababu ya usukuma wake. Sipendi ukabila lakini hilo liko wazi, muda utaongea
Usukuma wake kvp
 
Huyu kalewa madaraka mapema Sana

Namshauri aache mara moja kuongea kauli za kuligawa taifa

Angekuwa mwadilifu hasingekubali kumrudisha mtu Kama makamba kwenye wizara nyeti vile.

Makamba amekuwa na makandokando mengi Sana toka utawala wa kikwete.

Na yeye akumbuke ataondoka Tanzania itabaki kila kitabu na Zama zake njoo fanya yako sepa salama hii Ni dunia na haya ni maisha tu vijembe havisaidii Kama Magufuli alifanya makosa Ni kuyarekebisha tu kimya kimya sio kukashifu watu kwa ukabila.

Kauli hii ikisemwa na Mimi Ni ndogo Sana ila ikusemwa na Rais Ni kubwa mno.

Rais ajifunze kuwa Rais wa wote aache kujificha kwenye kichaka Cha udini na ukabila na jinsia yake kujilinda!!!.#

Wasukuma wanayo haki ya kusema Kama wanaona wanaonewa lakini sio msimamo wa kabila lao.

Namkumbusha tu awe makini na Kauli zake maana bado watu wameshika mpini na yeye ameshika makali na wa mwisho ndio uwa mshindi
 
Mimi namuona anapendelea jinsia yake,katumbua wanaume tu!
 
Usukuma wake kvp
... huku kanda ya ziwa sasa hivi kumewaka moto maana kuna watu, kwa sababu ya kutumbuliwa Kalemani, wanaeneza kwa nguvu chuki kwa kuzidi kuwalisha watu matango pori kuwa JPM aliuwawa ili Msoga gang washike nchi na kufanya wanayofanya sasa!
HII NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA KAMA SERIKALI IKIZIDI KUTOKUWA WAZI ZAIDI KUHUSU NANI ALIWAJIBIKA NA USALAMA WA JPM KIPINDI ANAFARIKI !
 
Umtoe Kalemani umlete mhuni makamba 😄😄😄.Ukweli tuuseme tu Kalemani katolewa pale kwa sababu ya usukuma wake. Sipendi ukabila lakini hilo liko wazi, muda utaongea
Paruaneni tu sisi Chadema tuna kunywa gahawa tu...taratiiibu
 
... huku kanda ya ziwa sasa hivi kumewaka moto maana kuna watu, kwa sababu ya kutumbuliwa Kalemani, wanaeneza kwa nguvu chuki kwa kuzidi kuwalisha watu matango pori kuwa JPM aliuwawa ili Msoga gang washike nchi na kufanya wanayofanya sasa!
HII NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA KAMA SERIKALI IKIZIDI KUTOKUWA WAZI ZAIDI KUHUSU NANI ALIWAJIBIKA NA USALAMA WA JPM KIPINDI ANAFARIKI !
Haha lolo yabhi shene hange choo!!!
 
Na kwenye dini nako waseme pia kama ndio hakuna usawa kabisa,
Sio kukimbilia ukabila tu au ukanda tu au unini sijui
 
Mkuu acha kuleta udini, hao unao waita "Bakwata" ni wachache sana ukiangalia ktk kila idara za Serikali ukilinganisha na hao ambao sio "
"bakwata".
Mfano mzuri tu fanya utafiti ktk Muhimili wa Mahakama;
~Angalia Idadi ya Majaji wa Mahakama za Rufaa.
~Angalia Majaji wa Mahakama kuu pamoja na viongozi wake.
~Angalia wasajili wa Mahaka kote nchini.
n.k, hao unao waita "bakwata" ni wachache sana.
~Hata hivyo uwiano ni Jambo la msingi sana ktk kuimarisha umoja, uzalendo na mshikamano wa Taifa letu, kwa kuzingatia sifa.

Mama yuko vizuri sana kamwe asitetereke wala kuyumba.
Takwimu zipo na zipo wazi kabisa.

Nchi hii itajengwa na watanzania wote.
~Viongozi wengine wenye mamlaka za kuteua wanapaswa sana kuzingatia UWIANO katika kuteua waache tabia ya kujaza aina moja ya watu ktk utumishi wa umma.
Mungu Mbariki Rais wetu.
Ni wakati sasa wa kudai uwiano wa dini,
Sote ni watanzania na sote saa hii tumeelimika,
Bakwata jitokezeni mupiganie hili hii ndio nafasi sasa
 
Back
Top Bottom