Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

Sukuma gang wamechachamaa...gambosh waongezewa...sijui wanamtafuta nani.... Sijui hii mbegu ya ukabila kwa nini inakuja kwa kasi hv... Wapo mawaziri tangu enzi..waliteuliwa na kutimuliwa...wakateuliwa tena( mifano ya karibuni..makamba Jr,Mwigulu,Ndugulile...)hatujawahi malalamishi toka kwao...sana sana walishukuru
 
Week Hii imeanza Kwa Teuzi za Waislamu, Tungoje Tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama viapo ndiyo hivyo sasa kesi ya Mbowe Ni Nani anayeratibu kesi ya kipumbavu Kama hiyo ya MBOWE.Hawa Ni Wana CCM hawana jipya lolote katika nchi hii.hizo Ni fedha za mapambano dhidi ya covid-19 lakini Hawa wanazitumia kujenga madarasa.hayo ya kubadilisha matumizi ya fedha yamepitishwa na wabunge la nchi gani? Hiyo mikopo italipwa na watanzania siyo zawadi Kama viazi na mihogo.
 
Sukuma Gang hao
 
Umtoe Kalemani umlete mhuni makamba ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.Ukweli tuuseme tu Kalemani katolewa pale kwa sababu ya usukuma wake. Sipendi ukabila lakini hilo liko wazi, muda utaongea
Nendeni mkachunge ng'ombe, tatizo nyie washamba Sana
 
Wasukuma walijiona Nchi ishakuwa yao
 
Huu ni uongo wa wazi.

Hebu mchafueni Magu kwa facts basi, sio za kutunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ