Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Nilipomaliza chuo nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ sema tu haikuwa bahati yangu. Mungu hakupanga niwe askari.Leo rais wa JMT atawatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa JWTZ tukio ambalo litarushwa live na vyombo vya habari kupitia televisheni kuanzia muda wa saa nane mchana.View attachment 1754382