Dodoma: Rais Samia awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

Bila kusahau ni toleo la kwanza la maafsia waliosomea degrew ya sayansi ya jeshi inayotolewa kwa ushrikiano wa Chuo cha jeshi (TMA) na chuo cha uhasibu Arusha (IAA)
Uhasibu unayo uhusiano upi na sayansi ya jeshi ?
 
Ficha upumbavu wako
Usiongee vitu huvijui..
Daah mkuu umenichekesha, mpe tu elimu, watu hawaelewi, hivi vyeo vya inner circle.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Akimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje.
Kwa nchi kama USA,kuna mshaurj mmoja tu wa mambo ya usalama,na waziri wa ulinzi/defense secretary,hakuna mshauri wa mambo ya nje,wakati yupo foreign affairs secretary.
hao ni wasaidizi binafsi wa ofisi yake.....sio wa wizara..
 
Thubutuuuu

Samia Suluhu Hassan anatuhusu tangu akiwa mgombea mwenza, makamu wa rais hadi sasa rais
Pelekeni unafki wenu ubelgiji kwa Tundu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Pata fleva kidogo

hilo fipa linajaribu kujipendekeza kwa bimkubwa.

ndio yalikuwa yanaponda the late kuhamia chamwino,sijui kelele zimeishia wapi.maana mama nayeye kazurula weee,ndege imeenda kutua dom[emoji2298][emoji2298][emoji2298].
 
Akimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje.
Kwa nchi kama USA,kuna mshaurj mmoja tu wa mambo ya usalama,na waziri wa ulinzi/defense secretary,hakuna mshauri wa mambo ya nje,wakati yupo foreign affairs secretary.
Ofisi ya Rais Ina watu wa kumsaidia yeye au unadhani anakaa ofisi moja na mawaziri????? Ofisi yake inatakiwa kuwa na watendaji ndio hao uliowaona na wapo kisheria.
 
hilo fipa linajaribu kujipendekeza kwa bimkubwa.

ndio yalikuwa yanaponda the late kuhamia chamwino,sijui kelele zimeishia wapi.maana mama nayeye kazurula weee,ndege imeenda kutua dom[emoji2298][emoji2298][emoji2298].

Maneno CCM MBELE KWA MBELE yana maana kubwa sana ndani ya chama na serikali

Waacheni waandamaneee na ujinga wao....... CCM MBELE KWA MBELE💥😍

Mtunzi wa huu wimbo aendelee kupumzika kwa amani
 
Akimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje.
Kwa nchi kama USA,kuna mshaurj mmoja tu wa mambo ya usalama,na waziri wa ulinzi/defense secretary,hakuna mshauri wa mambo ya nje,wakati yupo foreign affairs secretary.
Kwa hili namuunga mkono mama endelea na mtindo huu. Hao Mawaziri wapotoshaji wanaotangaza nchi ni shwari kumbe kuna watu wamekamatwa kwa uonevu ndo awategemee kwa ushauri? Mama anajaribu kujitenga na Wanafiki kwa namna ya pekee. Mwanasheria wa Rais ana kazi yake na Marais wengi wanao, mshauri wa Siasa ni mtu muhimu serikalini maana ukimtegemea mbunge wa CCM akushauri jinsi ya kuvitendea vyama vya siasa unajua atakwambia nini kuhusu upinzani. Mama uko vizuri endelea.
 
Bora sisi huku Kitaa michepuko yetu inatutunuku vitu vya maana
 
Bila kusahau ni toleo la kwanza la maafsia waliosomea degrew ya sayansi ya jeshi inayotolewa kwa ushrikiano wa Chuo cha jeshi (TMA) na chuo cha uhasibu Arusha (IAA)
Hapa nimeshindwa kuunganisha uhusiano kati ya :
"Digrii ya sayansi ya jeshi," na "Chuo cha uhasibu Arusha (IAA)"!
 
Ukisoma kozi ya kijeshi haina maana kwamba kila kitu utasoma cha jeshini, kuna mpaka General studies unasoma, utawala, communication skills, finance, Sheria za Nchi na mambo mengine mengi tu.
 
Back
Top Bottom