imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Weye iletehiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weye iletehiyo
Mkuu, hilo ninalifahamu vizuri sana.Ukisoma kozi ya kijeshi haina maana kwamba kila kitu utasoma cha jeshini, kuna mpaka General studies unasoma, utawala, communication skills, finance, Sheria za Nchi na mambo mengine mengi tu.
Sasa kama unajua military science ina compose nini hapa ulikuja kuuliza nini?Mkuu, hilo ninalifahamu vizuri sana.
Lakini "core specialization" ni "Military Science" ambayo haina lolote na uhasibu.
Nionavyo mimi, hawa Uhasibu ni wafadhiri tu wa Mahafali hayo, na hawahusiki kivyovyote katika mafunzo hayo ya digrii ya "Military Science".
Hili la kutolea kamisheni Ikulu aachane nalo. Kamisheni za JWTZ hutolewa eneo la mafunzo. Baadaye hata degrees zitaanza kutolewa Ikulu. Hili ni Jeshi, halitakiwi kuletwa sana uraiani. Aliyepita alipinduapindua mambo, lakini si utaratibu.Bila kusahau ni toleo la kwanza la maafsia waliosomea degrew ya sayansi ya jeshi inayotolewa kwa ushrikiano wa Chuo cha jeshi (TMA) na chuo cha uhasibu Arusha (IAA)
Hili la kutolea kamisheni Ikulu aachane nalo. Kamisheni za JWTZ hutolewa eneo la mafunzo. Baadaye hata degrees zitaanza kutolewa Ikulu. Hili ni Jeshi, halitakiwi kuletwa sana uraiani. Aliyepita alipinduapindua mambo, lakini si utaratibu.
Sharti la kwanza ni lazima uwe mwanajeshi.sky soldier
qualifications z kumuwezesha mtu kusoma hiyo shahada na zip?
na je raia anaruhusiwa kusoma hiyo shahada?
Jiwe alikuwa limbukeni tu.mama leo na yeye atavaa combat kama hayati
Haha,mkuu nitake radhiNilikukimbia wapi? Hujajibu swali kuu unarukaruka kama kibajaji.
Sidhani kama Mungu ndiye anapanga nani awe nani. Mungu anakupa uwezo na akili na wewe unavitumia kuwa fulani. BTW ni bora hukuenda kwani jeshini kwa mtu unayetaka uhuru siyo sehemu sahihi. Na hapa nazungumzia kuanzia ngazi ya chini mpaka juu pengine uondoa hao majenerali tu. Ni sehemu mbaya sana lakini ukiwa nje ya kambi huwezi kujua.Nilipomaliza chuo nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ sema tu haikuwa bahati yangu. Mungu hakupanga niwe askari.
Haha,mkuu nitake radh
Yani ulitoweka Kama kimbunga katarina, 😃Nilikukimbia wapi? Hujajibu swali kuu unarukaruka kama kibajaji.
Nyota ya kwanza kwa maafisa wa jeshiHivi kamisheni ndio nyota!?
Marais wote wanne waliomtangulia JPM hawajawahi kutolea kamisheni za JWTZ Ikulu. Kama utakumbuka kuwatoa kwenye eneo lao la kambi ya mafunzo kwaajili ya kamisheni kwa "Officer Cadets" alianzia kutolea Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha, ambapo alichanganya na hafla moja ya Chama Cha Mapinduzi, CCM. Ilileta mjadala, na baadaye tukaona Ikulu. Najua kwamba haina ubaya, lakini utamaduni wa kijeshi uko hivyo, kwa sababu wakati wa tukio hilo la Pass out au hiyo "graduation", kunakua na Askari na Makamanda wengine pamoja na raia na familia za hao askari, wanaotakiwa kushuhudia, kama ilivyo katika Graduations za vyuo vingine. Lakini kwa mazingira ya Ikulu nadhani changamoto ya space and other protocols inakua ni kikwazo. Kama umewahi kuhudhuria Pass out za majeshi, iwe hili la JWTZ au POLICE, utaweza kunielewa.wenzako wanajeshi wanajua kwamba popote ndani ya mpaka wa tz wanaweza kupewa kamisheni zao,ilimradi anayewasomea awe ji rais tu.sheria ya kijeshi inaitambua ikulu kama moja ya kambi zake.
wacha siasa na mambo usiyo yajua.
Yani acha kabisa [emoji16][emoji16] anakataa na haelewi chochoteSasa kama unajua military science ina compose nini hapa ulikuja kuuliza nini?
Watu wengine bhn
We uliona wapi composition ya degree ikafanana mwanzo mwisho?
Degree sini mchanganyiko wa kozi kibao, sasa zile za taaluma husika sindo zinakuwa core courses?
Jeshi linaanzaje kufadhiliwa na chuo sasa? Unahisi halina bajeti ya kuendesha hiyo kozi au?
IAA wamesaidia kufundisha kozi za kiraia tu hizo nilizokutajia, na hii iko sehemu nyingi hata Police science iko ivo
Ene wei we endelea kujua ujuavyo maana JF kila kitu watu wanajua hata wasiyoyajua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee, bado huelewi tu?Sasa kama unajua military science ina compose nini hapa ulikuja kuuliza nini?
Watu wengine bhn
We uliona wapi composition ya degree ikafanana mwanzo mwisho?
Degree sini mchanganyiko wa kozi kibao, sasa zile za taaluma husika sindo zinakuwa core courses?
Jeshi linaanzaje kufadhiliwa na chuo sasa? Unahisi halina bajeti ya kuendesha hiyo kozi au?
IAA wamesaidia kufundisha kozi za kiraia tu hizo nilizokutajia, na hii iko sehemu nyingi hata Police science iko ivo
Ene wei we endelea kujua ujuavyo maana JF kila kitu watu wanajua hata wasiyoyajua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]