KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Wewe eleza unachojua!Yani acha kabisa [emoji16][emoji16] anakataa na haelewi chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe eleza unachojua!Yani acha kabisa [emoji16][emoji16] anakataa na haelewi chochote
Goodwenzako wanajeshi wanajua kwamba popote ndani ya mpaka wa tz wanaweza kupewa kamisheni zao,ilimradi anayewasomea awe ji rais tu.sheria ya kijeshi inaitambua ikulu kama moja ya kambi zake.
wacha siasa na mambo usiyo yajua.
Usipatilize Mimi Ni falaa
Una buku hapo nikanunue fegi?Aisee, bado huelewi tu?
Chuo cha uhasibu, hata kama wangeofa somo la 'uhasibu' ni insignificant kabisa katika mchango wa 'Military Science' kiasi cha kuisema kuwa kwa "Ushirikiano na..."
Somo la uhasibu haliwezi kuwa matakwa (required) katika digrii ya military Sience hata siku moja; kama isivyowezekana kwa masomo ya kwa mfano Udaktari kuwa matakwa ya "Military Sayansi".
Wakitaka madaktari, jeshi litapeleka watu wao wenye sifa kusomea mambo hayo chuo stahiki, na wala Muhimbili kwa mfano wakatoe mafunzo ya udaktari kwenye kozi ya "Military Science".
Eeenh Heee,Una buku hapo nikanunue fegi?
Naona unanichosha tu mbishi alaf haujui ilimradi uonekane unabishana na watu
IAA ndio wameshirikiana na TMA kuandaa huu mtaala pamoja na kufundisha toka mwaka 2017Eeenh Heee,
Mkuu, uzuri hatujuani humu, kila mtu anapiga kivyake. Wewe kuhitimisha kuwa sijui, ina maana wewe unajua?
Umekaa kwenye hivyo vyuo muda gani mkuu? Ni 'curriculi' ngapi ulishazitengeneza na kuzitekeleza?
Akimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje.
Kwa nchi kama USA,kuna mshaurj mmoja tu wa mambo ya usalama,na waziri wa ulinzi/defense secretary,hakuna mshauri wa mambo ya nje,wakati yupo foreign affairs secretary.
Kwa hio kama Tanzania sio Taifa la Kiislamu ndio ifanye watu wake hawana akili hata ya kufikiria, mbona mnapobanwa kabari na rona mnamtaja Mungu, nyinyi ndio wale watu mliopewa baraka na Mungu kisha mkarudia maasi, eti Taifa sio la kiislamu, unakubali kuwa uislamu ndio pekee wenye maadili mazuri.Tanzania sio taifa la kiislamu, mambo yenu yasiingilie uhuru wa wengine pia, kama vipi angeulizia ratiba ya matukio apewe akiona ngoma ipo aitoe, but she did not.
Funga ni yake sio ya Watanzania. Nadhani analijua hilo ndio maana akakubali kuwa Rais. Usituletee mambo ya Udini hapaKwa hio kama Tanzania sio Taifa la Kiislamu ndio ifanye watu wake hawana akili hata ya kufikiria,mbona mnapobanwa kabari na rona mnamtaja Mungu,nyinyi ndio wale watu mliopewa baraka na Mungu kisha mkarudia maasi,eti Taifa sio la kiislamu,unakubali kuwa uislamu ndio pekee wenye maadili mazuri.
Msemo wetu wa kiluga unatwambia Heshima kitu cha bure. Unaniambia kuwa pale majeshi walishindwa kumheshimu Raisi,walikosa heshima,hawaelewi kama Raisi wao ni Muislamu na yupo kwenye funga.
Andiko lako lina hoja inaonekana, lakini kwa nini ngoma hiyo iwe haramu kwa Muislamu wakati wa mfungo pekee na halali kabla na baada ya mfungo?Kwa hio kama Tanzania sio Taifa la Kiislamu ndio ifanye watu wake hawana akili hata ya kufikiria,mbona mnapobanwa kabari na rona mnamtaja Mungu,nyinyi ndio wale watu mliopewa baraka na Mungu kisha mkarudia maasi,eti Taifa sio la kiislamu,unakubali kuwa uislamu ndio pekee wenye maadili mazuri.
Msemo wetu wa kiluga unatwambia Heshima kitu cha bure. Unaniambia kuwa pale majeshi walishindwa kumheshimu Raisi,walikosa heshima,hawaelewi kama Raisi wao ni Muislamu na yupo kwenye funga.