Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Nilipomaliza chuo nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ sema tu haikuwa bahati yangu. Mungu hakupanga niwe askari.Leo rais wa JMT atawatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa JWTZ tukio ambalo litarushwa live na vyombo vya habari kupitia televisheni kuanzia muda wa saa nane mchana.View attachment 1754382
Mama anajua anachokifanya na mpaka sasa yupo sahihi. Hii ni awamu inayotumia akili na sio nguvu, na nivigumu kuona ziletumbuatumbua au fukuza na vurugu zingine badala yake hapa utaona mabadiliko tu kwenye matokeo.Akimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje...
Nyi rais wenu kalala chato,uyu awahusu!!!!!
Duuh!Akimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje.
Kwa nchi kama USA,kuna mshaurj mmoja tu wa mambo ya usalama,na waziri wa ulinzi/defense secretary,hakuna mshauri wa mambo ya nje,wakati yupo foreign affairs secretary.
Ficha upumbavu wako
Usiongee vitu huvijui..
HahahahahaAtavaa combat na ushungi!!?
Duh Mkuu, mbona jambo la kawaida. Vyeo vilikuwepo. Kumbuka Mpango alikuwa msaidizi wa Rais Kikwete masuala ya Uchumi, RC Shigella alikuwa msaidizi wa Rais Kikwete masuala ya siasaAkimaliza aje atueleze hawa wasaidizi aliowateua wanakazi gani kama mawaziri wapo,Masarani unaweka masaidizi wa maendeleo ya jamii,wakati kuna waziri wa kada hiyo,au msaidizi wa diplomasia,wakati una waziri wa mambo ya nje.
Kwa nchi kama USA,kuna mshaurj mmoja tu wa mambo ya usalama,na waziri wa ulinzi/defense secretary,hakuna mshauri wa mambo ya nje,wakati yupo foreign affairs secretary.
Amenishangaza sana kwa swali lilenilitaka kusema ivo ivo
Labda wote wanatunukiwa leo ila uhakika hao kada afya ndio nafahamuHawa ni maafisa afya ( DRs - MD, Pharmacist na nurses) waliochukuliwa jeshini, sio hao waliosomea degree ya jeshi.
Wako kada ya AfyaBila kusahau ni toleo la kwanza la maafsia waliosomea degrew ya sayansi ya jeshi inayotolewa kwa ushrikiano wa Chuo cha jeshi (TMA) na chuo cha uhasibu Arusha (IAA)
Angekuwa Jiwe angetujia amevaa minguo ya jeshi yani full mikwara mikwara na ubabe ubabe wa kijinga!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021.
Shame on you.Angekuwa Jiwe angetujia amevaa minguo ya jeshi yani full mikwara mikwara na ubabe ubabe wa kijinga!
Anatunuku tarehe ambayo mwezi uliopita ni mida ya saa tano usiku nilibadili rasmi ratiba yangu ya maisha na kwa hakika siku hiyo ilikuwa siku kubawa sana kwangu!
Naahidi kuwa wakati anatunuku kamisheni nitakuwa namsindikiza taratiiib kwa gambe na choma la ukweli.
Huko TISSCCM hakukufai??Nilipomaliza chuo nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ sema tu haikuwa bahati yangu. Mungu hakupanga niwe askari.
Kinini ambacho ni so special?Nilipomaliza chuo nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ sema tu haikuwa bahati yangu. Mungu hakupanga niwe askari.