Hujielewi, hayo mambo ya uislamu kuwa mzuri unajisemea mwenyewe kwa huu ubovu wako wa kufikiri, badala ya kupoteza muda kuelekeza lawama pasipostahili mlaumu huyo aliejua amefunga halafu akaenda kwenye hayo mahafali bila kuulizia utaratibu, na huu u-secretary wake sijui umepewa na nani.Kwa hio kama Tanzania sio Taifa la Kiislamu ndio ifanye watu wake hawana akili hata ya kufikiria, mbona mnapobanwa kabari na rona mnamtaja Mungu, nyinyi ndio wale watu mliopewa baraka na Mungu kisha mkarudia maasi, eti Taifa sio la kiislamu, unakubali kuwa uislamu ndio pekee wenye maadili mazuri.
Msemo wetu wa kiluga unatwambia Heshima kitu cha bure. Unaniambia kuwa pale majeshi walishindwa kumheshimu Raisi, walikosa heshima, hawaelewi kama Raisi wao ni Muislamu na yupo kwenye funga.
You have a rabid mind! Unafikiria rubbishes in your mind....Mimi kama Muislamu nalaani kitendo cha kuekewa ngoma za ajabu Raisi Samia Suluhu Bin Hassan wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani,
Pia wasisahau nchi hii licha ya kutokuwa na dini pia haiamini uchawi.Mwisho wa siku nchi haina dini watu wake ndio wana dini soma katiba
Sio lazima mtazamo wako ufanane na wengine. Yawezekana wewe uliona za ajabu ila wenzako waliona ni za staha...nalaani kitendo cha kuekewa ngoma za ajabu
Acha udini wewe..kila kitu unawaza Dini. Dini ni vikundi vya Watu wanaofuata kitu wasichokijua.Kwa hio kama Tanzania sio Taifa la Kiislamu ndio ifanye watu wake hawana akili hata ya kufikiria, mbona mnapobanwa kabari na rona mnamtaja Mungu, nyinyi ndio wale watu mliopewa baraka na Mungu kisha mkarudia maasi, eti Taifa sio la kiislamu, unakubali kuwa uislamu ndio pekee wenye maadili mazuri.
Msemo wetu wa kiluga unatwambia Heshima kitu cha bure. Unaniambia kuwa pale majeshi walishindwa kumheshimu Raisi, walikosa heshima, hawaelewi kama Raisi wao ni Muislamu na yupo kwenye funga.
Kama raisi amefunga ni yeye binafsiKwa hio kama Tanzania sio Taifa la Kiislamu ndio ifanye watu wake hawana akili hata ya kufikiria, mbona mnapobanwa kabari na rona mnamtaja Mungu, nyinyi ndio wale watu mliopewa baraka na Mungu kisha mkarudia maasi, eti Taifa sio la kiislamu, unakubali kuwa uislamu ndio pekee wenye maadili mazuri.
Msemo wetu wa kiluga unatwambia Heshima kitu cha bure. Unaniambia kuwa pale majeshi walishindwa kumheshimu Raisi, walikosa heshima, hawaelewi kama Raisi wao ni Muislamu na yupo kwenye funga.
Hao Vijana Kama Walikuwa na Uwezo Wa Kupanga na Kufanya Uasi ndani ya Jeshi ts means intelijensia ya Jeshi Haina Uwezo Wa Kugundua Hivi Vitu na Kuzima Hizi Harakati za Hawa Vijana Mapema?Ila kuna watoto wa kama 854 wa kujitolea JKT "waliasi" Jeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CDF kawataja leo. Dah Ingekua nyakati nyingine jela ilikua inawahusu sio kusitishiwa mikataba tu
NB:
Mgomo/Maandamano/kutotii amri jeshini ni UASI
Marais wote wanne waliomtangulia JPM hawajawahi kutolea kamisheni za JWTZ Ikulu. Kama utakumbuka kuwatoa kwenye eneo lao la kambi ya mafunzo kwaajili ya kamisheni kwa "Officer Cadets" alianzia kutolea Uwanja wa Sheikh Amri Abeid - Arusha, ambapo alichanganya na hafla moja ya Chama Cha Mapinduzi, CCM. Ilileta mjadala, na baadaye tukaona Ikulu. Najua kwamba haina ubaya, lakini utamaduni wa kijeshi uko hivyo, kwa sababu wakati wa tukio hilo la Pass out au hiyo "graduation", kunakua na Askari na Makamanda wengine pamoja na raia na familia za hao askari, wanaotakiwa kushuhudia, kama ilivyo katika Graduations za vyuo vingine. Lakini kwa mazingira ya Ikulu nadhani changamoto ya space and other protocols inakua ni kikwazo. Kama umewahi kuhudhuria Pass out za majeshi, iwe hili la JWTZ au POLICE, utaweza kunielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Tanzania ni ya kisekulari. Dini anayo mtu. Kwahiyo Serikali haiwezi kupanga taratibu zake kwa kuangalia dini ya mtu hata kama ni Rais. Mkiona anakwazika kiimani, mwambieni ajiuzulu!!Nina wasiwasi na alieandaa sherehe zile na kuweka ngoma waliyodai inatokea Pemba, uchezaji wa ngoma hio sio uchezaji asilia wa hio ngoma, nia yao ni kutaka kupima upepo kulinganisha na lile tukio la Uhuru kenyata kwenye maziko ya Bana Yule. Waislamu watasema nini kwa hili ?
Mimi kama Muislamu nalaani kitendo cha kuekewa ngoma za ajabu Raisi Samia Suluhu Bin Hassan wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, waandaaji mnahitajika kumuomba samahani Raisi na waTanzania wote kwa ujumla. Mmemuaibisha Rais na kumpa mtihani .
Hivi hamkujua kama Raisi yupo kwenye funga, na huu ni mwezi mtukufu kwa jamii yetu ya kiislamu jamii ambayo inaunda Tanzania.
Cc dmkaliNina wasiwasi na alieandaa sherehe zile na kuweka ngoma waliyodai inatokea Pemba, uchezaji wa ngoma hio sio uchezaji asilia wa hio ngoma, nia yao ni kutaka kupima upepo kulinganisha na lile tukio la Uhuru kenyata kwenye maziko ya Bana Yule. Waislamu watasema nini kwa hili ?
Mimi kama Muislamu nalaani kitendo cha kuekewa ngoma za ajabu Raisi Samia Suluhu Bin Hassan wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, waandaaji mnahitajika kumuomba samahani Raisi na waTanzania wote kwa ujumla. Mmemuaibisha Rais na kumpa mtihani .
Hivi hamkujua kama Raisi yupo kwenye funga, na huu ni mwezi mtukufu kwa jamii yetu ya kiislamu jamii ambayo inaunda Tanzania.
Tuna lazimishwa kufunga woteTanzania sio taifa la kiislamu, mambo yenu yasiingilie uhuru wa wengine pia, kama vipi angeulizia ratiba ya matukio apewe akiona ngoma ipo awaambie waitoe, but she did not.
Huu ndiyo ukweliSerikali ya Tanzania ni ya kisekulari. Dini anayo mtu. Kwahiyo Serikali haiwezi kupanga taratibu zake kwa kuangalia dini ya mtu hata kama ni Rais. Mkiona anakwazika kiimani, mwambieni ajiuzulu!!
Anyway, hata cheo akichonacho kiislamu hakiwabariki. Kwahiyo hafuati huo uislam wanaotakaMna shida Sana nyie watu
Sijui mpewe Nini mlidhike.
Kulalama lalama tu
Nina wasiwasi na alieandaa sherehe zile na kuweka ngoma waliyodai inatokea Pemba, uchezaji wa ngoma hio sio uchezaji asilia wa hio ngoma, nia yao ni kutaka kupima upepo kulinganisha na lile tukio la Uhuru kenyata kwenye maziko ya Bana Yule. Waislamu watasema nini kwa hili ?
Mimi kama Muislamu nalaani kitendo cha kuekewa ngoma za ajabu Raisi Samia Suluhu Bin Hassan wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, waandaaji mnahitajika kumuomba samahani Raisi na waTanzania wote kwa ujumla. Mmemuaibisha Rais na kumpa mtihani .
Hivi hamkujua kama Raisi yupo kwenye funga, na huu ni mwezi mtukufu kwa jamii yetu ya kiislamu jamii ambayo inaunda Tanzania.
Maelezo mazuri mkuu.IAA ndio wameshirikiana na TMA kuandaa huu mtaala pamoja na kufundisha toka mwaka 2017
Jeshi lenyewe linajiandaa pamoja na kukamilisha taratibu ili liweze kutoa hii degree bila kushirikiana na chuo cha kiraia kuanzia mwaka 2024
Pia kuna Degree ya Polis kurasini kule sijui inaitwaje wanashirikiana na UDSM
Na katika shule nyingine za kijeshi kuna Diploma na vyeti wanashirikiana na DIT na vyuo vingine(Mtaala wa NACTE)
Nadhani ni katika mipango ya Ku"modernise" majeshi
Naona changamoto zile zile zilizomkabili Mwinyi zinarudi kwa kasi sana wakati huu. Huyu mama atazihimiri?Hili sio Taifa la kidini
Naomba nikueleze kitu kimoja ambacho kimebadilika sana kwenye vyuo vingi sana nchiniMaelezo mazuri mkuu.
Tukiendelea hivi JF itakuwa na manufaa zaidi kwa wengi.
Na ili ieleweke vizuri zaidi, pamoja na IAA kushirikiana na TMA kuandaa mtaala (pamoja na kufundisha?); huo mtaala unahusu masomo ya "Military Science" na siyo ya uhasibu, au siyo?
Bado ninatatizwa kidogo na uhusiano wa masomo ya kijeshi na Uhasibu.
Ninaelewa vyema sana kuwepo kwa uhitaji kijeshi kwa baadhi ya masomo ya kiuhasibu, lakini mtaala ambao sehemu kubwa ni uhasibu kwa masomo ya kijeshi, hapo ninatatizwa.
Labda itabidi tutafute ni kipi hasa kinachofahamika kuwa "Military Science", ikilazimu tutafanya hivyo.