Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

Na hyo n advertise tu
Wakumbuke mwishon n kama marehemu alijaribu kutubu
Sasa saa inakuja ambapo Kuna atakayeanguka na shangwe lake litakuwa si la kawaida
Nb Mimi sio muumin wa hizi shangwe wakat wa msiba ila viongozi wetu mnatakiwa kujitafakari wapi mlipokosea
Viongozi wa ccm wajitafakari! Wenzako wanajiona wako zaidi ya Mungu.

Ukiona Kiongozi wa Tanzania kwenye nyumba ya Ibada ujue ama amekuja kukamata Waumini au amekuja kuomba kura, hakuna Mwanaccm anayeomba Mungu, hawaoni haja ya kuomba Mungu maana Wamefanikiwa.

Mungu anaombwa na Masikini wanaotafuta uponyaji na Mafanikio
 
Back
Top Bottom