Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

Na hyo n advertise tu
Wakumbuke mwishon n kama marehemu alijaribu kutubu
Sasa saa inakuja ambapo Kuna atakayeanguka na shangwe lake litakuwa si la kawaida
Nb Mimi sio muumin wa hizi shangwe wakat wa msiba ila viongozi wetu mnatakiwa kujitafakari wapi mlipokosea
Mungu atende muujiza tu😄 maana bia huenda zisitoshe mjini!
 
Kushangilia kifo cha mwingine ni upumbavu tu.

Mshangiliaji naye siku moja atakufa.

Anachoshangilia ni nini sasa?
Kila mtu atakufa ni ukweli usiopingika ila maisha ya mtu kiburi na dhalimu ni tatizo kwa wapenda haki. Haina budi kwa wanyonge kufurahia pindi mtesi wao anapokufa ghafla.
 
Mjini Mbeya baada ya Taarifa ya kifo cha Jiwe Mbuzi kadhaa walichinjwa na kupikwa supu pale Mwanjelwa, Polisi wakaja eneo la Tukio wakakuta wananchi wanajichana, wakauliza kwanini mnasherekea? Wananchi wakajibu hatusherehekei ila Tunakula
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.

Zaidi huyu hapa

Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao?
======================

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka, amekemea baadhi ya watu kushangilia kifo cha Spika mstaafu Job Ndugai kilichotokea jana Agosti 06, 2025.

Soma Pia: Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

DC Saimon amesema baada ya msiba, atazungumza na vijana hao ili kuwarekebisha huku akiwaomba wazazi kukemea tabia hiyo.

Kama waliona kunastahili kufurahia hicho kifo waache washangilie ni hisia zao huwezi kuzuia hisia za watu labda ujizuie mwenyewe
 
R
Huyu mjinga anasema hakuna uadui wa hivyo? Yaani mnatuteka mnatuua halafu mkifa mnataka tulie.
Nyie ni maadui wetu,vifo vyenu ni furaha Kwa wanyonge mnaowanyanyasa na hawawezi kujitetea
REally mkuu Tukiongea kukemea uovu unatekwa so bora mkivuta tufurahi
 
Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.

Zaidi huyu hapa

Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao?
======================

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka, amekemea baadhi ya watu kushangilia kifo cha Spika mstaafu Job Ndugai kilichotokea jana Agosti 06, 2025.

Soma Pia: Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

DC Saimon amesema baada ya msiba, atazungumza na vijana hao ili kuwarekebisha huku akiwaomba wazazi kukemea tabia hiyo.

Wananchi washaichoka CCM, subirini tu itokee kwa Kikwete au kwa Mama Samia, kuna watu washanunua manyanga na ngoma kusubiria vifo vyao.
 
Shida yetu ni kutotaka kujikosoa. Wakati wote mnapenda kuona mambo positive tu(sifa). Binadamu hawajaumbwa hivyo. Kama mnakiri hao vijana wamefanya kituko,isiishie kuwaonya tu, na nyinyi mjitathimini,kuna mahali mnakosea.

Huu mi ujumbe kwenu kuwa watu hawana pa kusemea. Kila wakionesha kuwapinga mnawabinya. Walau kusheherekea kifo huenda mkaelewa, bado mnawaona si watu, nyinyi ndiyo waungwana.

Itafika siku mtakuwa hampiti mitaani

Tafakari, chukua hatua
 
Kifo ni adhabu?
1000050698.jpg
 
Wasipoteze muda.

Wakae chini wajiulize maswali mawili tu.

1. Hii kushangilia vifo imeanza lini?
2. Imetokana na nini?
Wakati Spika alivyomvua Tundu Lissu ubunge, kuwa hawajui alipo, Kwanza yeye akiwa mmoja wa watu waliopanga mipango ya kumuua (Kwa kuondoa walinzi na camera za CCTV), hilo jambo halikuwafurahisha watanzania wengi. YAANI MMEMPIGA RISASI HALAFU MNASEMA HAMJUI ALIPO?????? Wewe Ndugai na sisi hatujui ulipo sasa, tunakusubiri urudi, tutaendelea kushangilia. What goes around comes around. Mtajifunza karma ninyi CCM.
 
Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.

Zaidi huyu hapa

Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao?
======================

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka, amekemea baadhi ya watu kushangilia kifo cha Spika mstaafu Job Ndugai kilichotokea jana Agosti 06, 2025.

Soma Pia: Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

DC Saimon amesema baada ya msiba, atazungumza na vijana hao ili kuwarekebisha huku akiwaomba wazazi kukemea tabia hiyo.

Akitangulia kizimkazi na msoga tuta shangilia kwa saana
 
Back
Top Bottom