Suluhu sio kuongea na vijana...
Na huwezi kumchagulia mtu kulia au kuhuzunika kwa kuwa wewe unalia au unahuzunika...!!
Maamuzi sahihi ya kufanya ni sisi sote kuwauliza viongozi wetu huko serikalini mnadhani mmkosea wapi hata watu kuwachukia hivi na kuwaombea mfe na mkifa wanashangilia badala ya kuhuzunika na kulia na familia zenu mlizoziacha..???
Hebu fikiri siku Bi Samia Suluhu Hassan akifa, mnadhani Tanzania itashangilia kwa kiwango gani....?
Haina shaka kabisa kuwa, kwa jinsi mambo yalivyo, plus jeuri na kiburi chake, watu watashangilia na kusheherekea usiku kucha...!!
Hebu fikiri tena, Jakaya Kikwete (
mpanga mambo ya hovyo kabisa) au Afande Jumanne Muliro (
mwenye jeuri na kiburi kwa kuwa ana bunduki na askari) au Paul Makonda (
aliyeongoza kikosi cha majambazi kumpiga risasi Tundu Lissu tarehe 7/9/2017) siku hawa wakifa unadhani itakuwa ni furaha iliyoje kwa watanzania walio wengi...?
Itakuwa furaha kubwa sana kwa kuwa hawa watu wamedhulumu uhai wa maisha ya watu wengi sana...!
Na hata sio ajabu hata kidogo watu kushangilia Mungu anapopiga watesi wa watu wake...
Mifano ktk historia ya ulimwengu ni mingi mno...
👉Mfalme Herode aliyeua watoto wa kiume wote wa umri 0 - 5 akilenga kumpata na kumuua Yesu Kristo, siku alipokufa watu walishangalia sanaaa ktk miji yote ya Israel...!
👉Mfalme Herode wa Misri ya kale alipouwawa yeye na Jeshi lake lote kwa kuzikwa wakiwa wazima na Mungu mwenyewe kwenye chini ya kilindi cha Bahari ya Shamu, watu walifurahi na kushangilia sana wakimtukuza Mungu kuwaokoa na hayawani yule..!
👉Iddi Amin Dada alipopigwa na majeshi ya Tanzania mwaka 1979, watu walishangalia ktk miji yote ya Uganda kwa kuwa waliona wameokolewa...!
👉Vivyo hivyo kwa viongozi na watawala wabaya na katili wengine wengi mahali na sehemu mbalimbali duniani walipokufa, watu walifurahi na kushangilia...!
#Ndugai ameacha legacy mbaya mno kwa jamii na Watanzania. Alishirikiana na Hayati mwenzake John P. Magufuli kuhakikisha Tundu Lissu anakufa kabisa. Matendo na maneno yao ni ushahidi ulio wazi kuthibitisha hili. Wamekufa wao na kumuacha waliotaka kumuua akiwa hai...!
Jamani acheni Mungu Yehova aitwe Mungu...
#Tukio hili la watu kushangilia halijaja au kutokea kwa bahati mbaya. Linatoa ujumbe muhimu sana kwetu sisi sote tulio hai kujua maana ya maisha...
#Linatufundisha kuacha jeuri na kiburi cha madaraka au ufahari fulani wa kidunia ambao huwa tunatamba nao na kuutumia kuwanyanyasa na kuwaonea wengine mpaka kufikia hatua ya kutoa uhai wao...
✅✅✅TUNASEMA HIVI KWA MARA NYINGINE:
1. Mwaka huu 2025 hakutakuwa na uchaguzi mkuu unless kumekuwa na electoral reforms...
2. Wenye mamlaka ya kuchukua hatua wakishindwa kufanya kwa hiari zao, Mungu Yehova atawalazimisha kuchukua hatu kwa kusababisha matukio yatakayo - block chochote kuendelea kuelekea huku wanakotupeleka...!
3. Moja ya hatua Mungu ambayo huitumia mara nyingi ni kumtoa kiongozi aliye kikwazo kwa mpango wake na kuleta kiongozi mwingine. Anaweza kumwondoa kwa njia yoyote apendayo yeye ikiwemo kuruhusu kifo kimchukue. Ilikuwa hivyo kwa Mfalme Herode aliyekuwa anataguta kumuua Yesu Kristo wakati wa utoto wake, ilikuwa hivyo kwa Mfalme Sauli ili Daudi awe Mfalme badala yake nk nk
➡️➡️Viongozi wa serikali ya Tanzania, kifo cha ghafla cha Ndugai ni alarm ya tahadhari. Kama mna akili na ufahamu, fanyeni yale yawapasayo kufanya sasa before it's too late otherwise mtapukutika mmoja baada ya mwingine na wengine mtageuzwa nyumbu na mtapelekwa porini kwenda kula nyasi kama Mfalme Nebuchadnezzar..!!➡️➡️