OkayMbona kaweka video?
Niliiwahi post kabla hajaikamilisha
OkayMbona kaweka video?
Niliwahi kabla haijamaliza postKwani mjomba huoni kavideo hapo juu
SawaChanzo ni DC wa Kongwa
Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.
Zaidi huyu hapa
Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao?
======================
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka, amekemea baadhi ya watu kushangilia kifo cha Spika mstaafu Job Ndugai kilichotokea jana Agosti 06, 2025.
Soma Pia: Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!
DC Saimon amesema baada ya msiba, atazungumza na vijana hao ili kuwarekebisha huku akiwaomba wazazi kukemea tabia hiyo.
Jana usiku nilikuwa maeneo ya Kongwa, sikuona mtu hata mmoja akishangilia.Nadhani ni wahuni tu, watu wa Dodoma hawana tabia hiyo
Hawawezi kujiuliza wakati tayari majibu wanayo!Wasipoteze muda.
Wakae chini wajiulize maswali mawili tu.
1. Hii kushangilia vifo imeanza lini?
2. Imetokana na nini?
Kweli bhana!Jana usiku nilikuwa maeneo ya Kongwa, sikuona mtu hata mmoja akishangilia.
Kifo ni kifo, tujifunze kuvizoea kuwa hata viongozi wanakufa.Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.