The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
SureHuo mji umetupotezea mda Sana
Miradi gani alifanya sasa zaidi ya kupiga pesa ya umma kwenye manunuzi?Magufuli tu ndiye alijua namna ya kukusanya pesa kwa njia zake .....!!
Huo ni mwanzo. Miradi mingi tu itasimamishwa kwa uhaba wa pesa ....... Siyo rahisi kufanya kazi Kimagufuligufuli!!
Huyo hawezi kitu!Magufuli aliyoyafanya kwa miaka mitano, samia hawezi kuyafanya kwa miaka kumi
Sgr kuanzia isaka to mwanza ni mradi wa kipambavu ule?Miradi ipi ya akili aliyowekeza Mama.
Nyie majitu mavivu ilikuwa lazima Magufuli awapeleke mchakamchaka.kuhamisha kila kitu kwenda DODOMA kwa muda mfupi kiasi kile ni jambo la kushangaza sn kwa watu wenye akili .
Anaachana na miradi isiyo na tija anaendekeza yenye tijaMiradi ipi ya akili aliyowekeza Mama.
Naona vinyesi mmetuliiiia shimoniN
NAona mijusi mnatamba tu juani
Kima hawawezi kukuekewaJPM hakuwa na akili,mradi kama wa airport ya Chato ulikuwa hauna maana kwa sasa,alikurupuka tu,
Hivi kama una akili timamu unawezaje kuweka international airport kwenye wilaya kabla ya makao makuu ya mkoa,yaani ujenge airport Karagwe kabla ya Bukoba mjini,au Hai kabla ya Kikimanjaro,au mpwapwa kabla ya Dodoma mjini.
5) mazalia ya ombaomba dunianimhn! haya ndugu Muulize Malkia Elizabeth Gold nzuri ya Tanzania iko wapi?
- zaidi ya 65% ya mji wa Dodoma una madini...
Hakuna mradi hata mmoja ambao JPM alijiamulia yeye Kama Rais bali alikuwa anatekeleza miradi yote iliyoainishwa kwenye Ilani ya CCM ya uchaguzi wa 2015. Sema Kasi ya utekelezaji wa ilani ilikuwa kubwa ukilinganisha na awamu nyingine.Hiyo miradi ya mihemko bila kupitishwa na bunge ...
Mh samia piga chini tu...
Sawa kaka wewe ndio muelevu hakuna shida, sasa serikali siipo DODOMA shida ya nini unafoka kiasi hiki.Nyie majitu mavivu ilikuwa lazima Magufuli awapeleke mchakamchaka.
Bila hivyo, tungehamia dodoma miaka mia ijayo...
Dada kama umri huo hujaelewa saikolojia nenda kakeketwe upya na ngariba mwingineRais leo kasema miradi yote ukamilishaji wake uko pale pale na hamna mradi utakaoachwa...
Chatto airport imo kwenye ilani?, mnamanisha nini mnaposema miradi ilitekelezwa kwa kasi, Kama mpaka kafa hakuna mradi hata mmoja kakamilisha kwa Muda?Hakuna mradi hata mmoja ambao JPM alijiamulia yeye Kama Rais bali alikuwa anatekeleza miradi yote iliyoainishwa kwenye Ilani ya CCM ya uchaguzi wa 2015. Sema Kasi ya utekelezaji wa ilani ilikuwa kubwa ukilinganisha na awamu nyingine.
Watu vichwa panzi hawawezi kuelewa umuhimu wa hiyo Ring Road maana wao maendeleo ni kuwapa watu maneno mazuri ya falsafa lakini ukiwaambia ya kuwa Magufuli alikuwa anawaza mbali hawatakuelewa ni watu wavivu wasiojitambua ndo watafurahia huo mradi kusitishwa wanataka serkali yenye maneno ya kufurahisha watu pasina vitendo.Hapa wamefanya makosa sana, Dodoma itakuja kujaa kama Dar ishindwe kupitika
TEMA MATE CHINI MAISHA BADO YANAENDELEA NA UKUMBUKE HALAFU NI KAMA GWALIDE NA VILE VILE KAMA TAULO ULIPOFUTIA TAKO JANA LEO UNAFUTIA MDOMO YANAWEZA KUBADILIKA GHAFLA UKAWA WEWE OMBAOMBA5) mazalia ya ombaomba duniani
Nishamaliza nawe...sasa jimwage kwa raha zako na orodha ya maneno ya shombo yote uyajuayo.Naona vinyesi mmetuliiiia shimoni
Narudia tena ikiwa na kilainishi ili ikuingie tunduni vizuri, RAIS KASEMA MIRADI IKO PALE PALE...Dada kama umri huo hujaelewa saikolojia nenda kakeketwe upya na ngariba mwingine
halafu vingi vyakuja wala hapo sio kwao ni mbali kweli na kwao!