Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

kuhamisha kila kitu kwenda DODOMA kwa muda mfupi kiasi kile ni jambo la kushangaza sn kwa watu wenye akili .
Nyie majitu mavivu ilikuwa lazima Magufuli awapeleke mchakamchaka.

Bila hivyo, tungehamia dodoma miaka mia ijayo.

Wangekuja wajinga kama wewe hapa wakwambie mambo ya sijui upembuzi yakinifu.

Mara sijui tupo kwenye mkakati kabambe wa kuchanganua!

Uvivu uvivu tu...... unachambua kitu gani?

You have the money, DO THE WORK.

Chambua chambua tu. Hata ukitaka kujamba wanakwambia subiri tufanye uchambuzi wa mazingira.

Upuuzi mtupu!
 
JPM hakuwa na akili,mradi kama wa airport ya Chato ulikuwa hauna maana kwa sasa,alikurupuka tu,
Hivi kama una akili timamu unawezaje kuweka international airport kwenye wilaya kabla ya makao makuu ya mkoa,yaani ujenge airport Karagwe kabla ya Bukoba mjini,au Hai kabla ya Kikimanjaro,au mpwapwa kabla ya Dodoma mjini.
Kima hawawezi kukuekewa
 
Nyie majitu mavivu ilikuwa lazima Magufuli awapeleke mchakamchaka.

Bila hivyo, tungehamia dodoma miaka mia ijayo...
Sawa kaka wewe ndio muelevu hakuna shida, sasa serikali siipo DODOMA shida ya nini unafoka kiasi hiki.

Ulivyo andika comment yako tu imeakisi ulivyo
 
Hakuna mradi hata mmoja ambao JPM alijiamulia yeye Kama Rais bali alikuwa anatekeleza miradi yote iliyoainishwa kwenye Ilani ya CCM ya uchaguzi wa 2015. Sema Kasi ya utekelezaji wa ilani ilikuwa kubwa ukilinganisha na awamu nyingine.
Chatto airport imo kwenye ilani?, mnamanisha nini mnaposema miradi ilitekelezwa kwa kasi, Kama mpaka kafa hakuna mradi hata mmoja kakamilisha kwa Muda?
 
Hapa wamefanya makosa sana, Dodoma itakuja kujaa kama Dar ishindwe kupitika
Watu vichwa panzi hawawezi kuelewa umuhimu wa hiyo Ring Road maana wao maendeleo ni kuwapa watu maneno mazuri ya falsafa lakini ukiwaambia ya kuwa Magufuli alikuwa anawaza mbali hawatakuelewa ni watu wavivu wasiojitambua ndo watafurahia huo mradi kusitishwa wanataka serkali yenye maneno ya kufurahisha watu pasina vitendo.
 
Back
Top Bottom