Dodoma: Spika Ndugai awapa mbinu CHADEMA ili awafukuze akina Halima Mdee

Ni dhahiri sasa Tanzania ina utajiri wa mambo mengi na huyu spika ni miongoni mwa 'utajiri' wetu na huenda anapatikana kwetu tu duniani kote!
Ndugai tukimtumia vizuri tunaweza kuingiza mapato mengi sana kwa vituko vyake
 
Ewe mungu wa majeshi hebu malizia kazi uliyoianza tupumzike sasa.
 
precedence ina nguvu mahakamani/sheriani sio huko mtaani na bungeni.
 
Hivi spika ni msemaji wa cdm au?

Afu kama hao watu walishafukuzwa kwa nini chama kisipeleke taarifa rasmi na orodha mpya ya wanachama wake wanaotakiwa kuwa wabunge wa viti maalumu.

Pili kwa nini chama kisiende mahakamani kuwashtaki spika na hao wabunge wake kwa kutumia jina la Chadema kinyume na utaratibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…