Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyadai yote haya baada ya dhalimu magufuli kumfukuza Sophia Simba ccm!?
Double standards
Anataka kuuaminisha umma kuwa adui namba moja wa nchi hii ni CDM...Huyu kweli hajitambui maana naona mpaka amesahau hata kwamba aliwahi kumfutia Ubunge Tundu Lissu bila ya kumpa haki ya kujitetea? Mwaka 2017 aliwahi kuridhia kufukuzwa kwa Wabunge wanane wanawake wa CUF na madiwani wawili, pia wanawake, kwa kimemo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Msajili wa Vyama Profesa Ibrahim Lipumba? Hii ndio inaitwa double Standard, na inavyoonekana anataka kuwakomesha Chadema tu.
Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho.
"Aandike barua aambatanishe na katiba ya chama chake, aniambatanishie na muhtasari wa hicho kikao kilichofanya hayo maamuzi, inawezekana huyo Katibu Mkuu kaamka tu kaandika halafu na mimi nakurupuka nachukua hatua, nitakua ni Spika au kitu cha ajabu, hivyo andika ili ile barua niwape watalam waangalie, halafu namuuliza msajili wa chama hawa wajumbe walioorodheshwa ndiyo wajumbe halisi?", amesema Spika Ndugai
"Pia naangalia kwenye muhtasari ule je hawa wabunge wanaotuhumiwa kufukuzwa walipata nafasi hata ya kujieleza na walisikilizwa?, nifukuze watu ambao hawakusikilizwa popote, yaani mbunge hujawahi kusikilizwa wanandika tu fukuza hawa, viko vyama vimejaa mfumo dume, kundi la wanaume wamekaa wanafukuza wanawake 19 kwa mpigo hata kama barua hiyo inatoka CCM lazima nitawaambia 'stop' kwanza taratibu", ameongeza Spika Ndugai.
Anainyea katiba hatoshi kusema anaikojoleaTulilia na nduli wa chato MUNGU akatuondelea mtu yyle dhalimu Kati Taifa letu adhimu
Nafikiri na huyu mjivuni wa kongwa hatustahili anaisigina Sheria wazi wazi anakojolea KATIBA yetu
Amekalia kitu Cha mamlaka huku akitenda kwa ubatili
Najua hatuwezi shika bunduki ,Wala hatuna ubavu wa kupanda na mtu yule basi kwakua Bwana ndio mtoaji wa vyeo na mamlaka hapa dunia je ,si kusema anamuona mtu dhalimu akiwa mfano mbaya kwa ustawi wa nchi.
Bwana afanye lililo jema macho pake(Wala hatuna uwezo kwa kumshurutisha).
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Unamfukuzaje mtu ambaye hukumteua???????Tunawafukuza kwakuwa chadeam hakijawateuwa kuwa wabunge wa viti maalumu.
Busara pekee ni kufata katiba ya chama, hufati katiba tunakutimua kama mbwa koko.
Angalia isije ikafanya jambo kwako. Mark my words, utanikumbuka siku moja4th wave ya corona ikija isiache kufanya Jambo kwa huyu mla fisi.
tunafukuza uanachama, uanachama hauteuliwi.Unamfukuzaje mtu ambaye hukumteua???????
ok. Nawatakia mafanikio mema. Mie ni mbumbumbu sana wa siasatunafukuza uanachama, uanachama hauteuliwi.
Comrade una swali lingine??
Siasa huwa naona kama maigizo tu. Na hata yanayotokea na mnayashabikia ni maigizo tuSawa Mbumbumbu.
yes nimepitia comments zako mbalimbali kwenye majukwaa ya siasa nimeona umbumbumbu wako haswaa.Siasa huwa naona kama maigizo tu. Na hata yanayotokea na mnayashabikia ni maigizo tu
Huwa na comment reality wakati siasa siyo real. I know the inside of both parties. Even the current covid-19 issue. Kwahiyo msikaze sana mishipa kutetea sanaayes nimepitia comments zako mbalimbali kwenye majukwaa ya siasa nimeona umbumbumbu wako haswaa.
Kwa uandishi na taaluma chadema bado sanaKama ule ushahidi wa barua Ile ya KM chadema iliyoletwa hapa mitandaoni imeanda hivyohivyo bungeni, hata angelikuwa Mbowe spika awafukuze wabunge wa CCM Kwa barua hiyo, nafsi ingemsuta.
Tuweni wakweli, Ile barua ya kuwafukuza ubunge 19, iliandikwa kitoto saana!! haikuwa na nidhamu hata kidogo
Kwa kuwa siku hizi, ukweli sio nshu Sana, basi kelele ziendelee.
Kumbe ufupi wake haujaishia kwenye kiwiliwili tu; hadi kwenye utashi!Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho.
"Aandike barua aambatanishe na katiba ya chama chake, aniambatanishie na muhtasari wa hicho kikao kilichofanya hayo maamuzi, inawezekana huyo Katibu Mkuu kaamka tu kaandika halafu na mimi nakurupuka nachukua hatua, nitakua ni Spika au kitu cha ajabu, hivyo andika ili ile barua niwape watalam waangalie, halafu namuuliza msajili wa chama hawa wajumbe walioorodheshwa ndiyo wajumbe halisi?", amesema Spika Ndugai
"Pia naangalia kwenye muhtasari ule je hawa wabunge wanaotuhumiwa kufukuzwa walipata nafasi hata ya kujieleza na walisikilizwa?, nifukuze watu ambao hawakusikilizwa popote, yaani mbunge hujawahi kusikilizwa wanandika tu fukuza hawa, viko vyama vimejaa mfumo dume, kundi la wanaume wamekaa wanafukuza wanawake 19 kwa mpigo hata kama barua hiyo inatoka CCM lazima nitawaambia 'stop' kwanza taratibu", ameongeza Spika Ndugai.
Ninavyojua chadema wamewatimua hawa wabunge kwa kuwa hawakuchaguliwa kama sheria ya uchaguzi inavyotaka kwa kuwa kila chama huwa kinawasilisha list ya majina ya wabunge wa viti maalum kwa tume kabla ya uchaguzi wa majimbu. So uchaguzi ukiisha wanaangalia idadi ya kura za uraisi ndio wanawaambia kila chama kina wabunge wangapi wanaqualified kuingia bungeni.Tume ya uchaguzi inachagua kutoka kwenye hiyo list.Mfano wameambiwa ni wabunge 10 ,ina maana tume ya uchaguzi itachangua numba 1 mpaka 10 kwenye list iliyowasilishwa kwao.Pili Chadema hawakukubaliana na mwenendo wa uchaguzi wa urais na wabuge so waligomea bunge .Serikali waliamua kuchagua wabunge ambao walikubaliana na spika na sio waliokuwa kwenye list.Na hii ni ili wapate hela za UN kwa hali iliyokuwepo ya majimbo ambako vyama wahakupata wabunge inamaana Tanzania wasinge qualify kupatafedha kwa ajili ya kuendesha bunge .Lengo la chadema kuwafuka kina Halima ni nini? nyie kila siku mnasema uongozi tufuate hekima katika maamuzi , mnataka kufukuza kwa kuwa ni wabunge wanakula pesa za ubunge au kwa kuwa sisi hatukupata hiyo nafasi? huo sio u dictator kweli kuamuka usiku na kufukuza wana chama wenu? tumieni busara sio kila mara mnakuwa na sintofahamu ambazo hazileti tija katika chama chenu, mnajizoofisha.
Mnafikia kutishia maisha wazi wazi sasaHii ni dalili ya ile safari inayoogopwa na watu wote - safari ambayo ni futi 6 chini udongoni.
Yule mshikaji wake siku chache kabla hajarudisha namba naye alikuwa akiweweseka hivi hivi!