imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwahiyo Ndugai kaambiwa kuna Wajumbe waliolishwa mlungula?walioorodheshwa ndiyo wajumbe halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Ndugai kaambiwa kuna Wajumbe waliolishwa mlungula?walioorodheshwa ndiyo wajumbe halisi
Ndugu, barua ni taarifa tu.Kama ule ushahidi wa barua Ile ya KM chadema iliyoletwa hapa mitandaoni imeanda hivyohivyo bungeni, hata angelikuwa Mbowe spika awafukuze wabunge wa CCM Kwa barua hiyo, nafsi ingemsuta.
Tuweni wakweli, Ile barua ya kuwafukuza ubunge 19 kutoka KM kwenda Kwa Sipika, Jamani Ile barua haikuwa na nidhamu aisee.
Kwa kuwa siku hizi, ukweli sio nshu Sana, basi kelele ziendelee.
Ndio utaratibu uliotumika kwa Sophia Simba? Wanaume.wote walionywa au walipewa karipio (Emmanuel Nchimbi).Ndugai hajielewi kabisa, anajidai kuwafundisha Chadema nini cha kufanya kama vile hiyo ndio mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea.
Lakini ukimsoma mbele zaidi anadai hawezi kufukuza watu ambao hawakupewa nafasi ya kujitetea, sasa kama waliitwa wakagoma kwenda alitaka wabebwe mgongoni?
Anaonesha wazi alivyoamua kuwalinda hao wanawake kwa gharama yoyote, ila ajue kwa hiki alichofanya anajiondolea heshima.
Amejidhalilisha mwenyewe, amelidhalilisha bunge kama taasisi inayotunga sheria, zaidi ameonesha hizo sheria zinazotungwa na bunge hazina maana, pia kaidharau Katiba ya nchi, ni bora ajiuluzu ili kulirudishia bunge letu na yeye mwenyewe heshima yake.
Kwan Covid-19 hawakuitwa na kukaidi? Au kikao kile kilikuwa haramu??La Sophia hulijui weweeeeee! Ungelikuwa unalijua ungelijua kuwa aliitwa kwenye vikao HALALI vya CCM na kujieleza kabla hajachukuliwa hatua.
Muhutasari ni mali ya chama husika maana muhutasari huo unabeba mambo mengine!.Kama ule ushahidi wa barua Ile ya KM chadema iliyoletwa hapa mitandaoni imeanda hivyohivyo bungeni, hata angelikuwa Mbowe spika awafukuze wabunge wa CCM Kwa barua hiyo, nafsi ingemsuta.
Tuweni wakweli, Ile barua ya kuwafukuza ubunge 19 kutoka KM kwenda Kwa Sipika, Jamani Ile barua haikuwa na nidhamu aisee.
Kwa kuwa siku hizi, ukweli sio nshu Sana, basi kelele ziendelee.
Hata wakina Halima wanakiri kuwa walipokea mwaliko wa kwenda kwenye kikao HALALI cha Chadema ila hawakwenda.La Sophia hulijui weweeeeee! Ungelikuwa unalijua ungelijua kuwa aliitwa kwenye vikao HALALI vya CCM na kujieleza kabla hajachukuliwa hatua.
Mkuu mbona unachanganya mafile yani ukiamka tu ni lisu,soma kwanza Uzi unahusu nini.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Lema kashamwambia anaefuatia ni yeyeMbonà kwa Sofia Simba hakutaka hayo, huyu ni mtu hatari inabidi Mungu ampumzishe Kama alivyompumzisha wa Executive.
NDUGU YANGU SI UMEAMBIWA TARATIBU ZA KICHAMA KUWAIDHINISHA KUINGIA BUNGENI HAZIKUFUATWA?Lengo la chadema kuwafuka kina Halima ni nini? nyie kila siku mnasema uongozi tufuate hekima katika maamuzi , mnataka kufukuza kwa kuwa ni wabunge wanakula pesa za ubunge au kwa kuwa sisi hatukupata hiyo nafasi? huo sio u dictator kweli kuamuka usiku na kufukuza wana chama wenu? tumieni busara sio kila mara mnakuwa na sintofahamu ambazo hazileti tija katika chama chenu, mnajizoofisha.
hii ni fursa tunaweza kuongeza kivutio kingine kwa watalii kuja kumuona huyu mzee tu pale bungeni tutaingiza pesa za kigeni hata za ndani. Simba huku nyuma waandike COME SEE JOB NDUNGAI.Ni dhahiri sasa Tanzania ina utajiri wa mambo mengi na huyu spika ni miongoni mwa 'utajiri' wetu na huenda anapatikana kwetu tu duniani kote!
Nadhani anatumia karata yake ya mwisho udhalilishaji wa kijinsia kutaka tuamini kuwa kuna udhalilishaji, nadhani huyu inabidi apigwe stop haraka sana huku anakotaka kutupeleka sio kuzuri. Naamini CCM uongozi huu mpya watampiga stop kama kajisahau yeye ni mwanachama tu wa CCM na mbunge wa kawaida kabisa.KWani taratibu za wabunge wa viti maalumu hadi kufikia hatua ya kuapishwa IKOJE!? Ilifuatwa???? Angejibu hilo bwana spika angeonekana kweli anawapenda wanawake, otherwise tuendelee tu kutokuheshimu hata kanuni zetu wenyewe.
Ubaya wa kurukia gari ambalo hujui limetokea wapi ndio huu. Umekuwa kichekesho.kamwambie babayako ajiuzuru kwanza kwa familia yenu ndiyo uje umwambie na ndugai acheni ushabiki maandazi wenu nyie hamchelewi kugeuka leo afanye hivyo akija kubanwa nasheria nyingine ya kufukuza watu bila kufuata katiba mje tena na kingine wahuni nyie tunawajuwa sana mmfundishwa sasa fuateni alichosema kama mnania ya kuwaondoa bungeni mkiendelea kubisha msubiri 2025 tena mpigwe chini mpaka mtazeeka
Ndio tayari hivyo.Huu ufisadi wa ndugai kuna siku utampalia
Keshafika mwisho hana pa kugeukia.Mbona haombi muhtasari wa Kikao kilichowateua?