Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
CHADEMA mambo mengi huwa mnakurupuka na mara zote hii huwa inawacost. tumieni brain zenu vizuri, badala ya kutumia hisia na munkari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo kwamfano tuseme haikuambatanishwa hiyo ya sofia (pamoja na kwamba sidhani), na akawa alifanya makosa kwa sofia kwenda haraka, unafikiri hiyo ni sababu tosha ya kufanya makosa tena? ukifanya makosa mara ya kwanza unatakiwa kufanya makosa tena mara ya pili?Ya Sofia Simba ilikuja na muhtasari wa kikao na katiba ya chama? Tangu lini barua ya taarifa inaambatishwa na Katiba?
CDM waachane na wakina Halima. Ni kupotezeana wakati tu.
Amandla...
Kabla ajarenew!!hahahaahhahhahaHii ni dalili ya ile safari inayoogopwa na watu wote - safari ambayo ni futi 6 chini udongoni.
Yule mshikaji wake siku chache kabla hajarudisha namba naye alikuwa akiweweseka hivi hivi!
Je, ile mbinu ya kutaka kumuondoa Samia kwenye reli kama ilivyosemekana, ni wanawake ndio walikuwa wana- mastermind?viko vyama vimejaa mfumo dume, kundi la wanaume wamekaa wanafukuza wanawake 19 kwa mpigo hata kama barua hiyo inatoka CCM lazima nitawaambia 'stop' kwanza taratibu", ameongeza Spika Ndugai.
ni kweli ni kivutio tosha...watanzanyia tuitumie hii fursa kuwa ya kitalii, watu waje kuona maajabu haya yanayopatikana Tanzania tu.Ni dhahiri sasa Tz ina utajiri wa mambo mengi na huyu spika ni miongoni mwa 'utajiri' wetu na huenda anapatikana kwetu tu duniani kote!
Hana mamlaka ya kuingilia. Subirini apatikane spika mwingine kama mnavyomwombea wa sasa aendeMy conviction ni kuwa mama Samia ataliingilia hili. Akiliacha litamwekea doa kubwa. Làbda kwa vile Tanzania ni kichwa Cha mwenda wazimu anaweza akapotezea waswahili wanasema
Ni dhahiri sasa Tz ina utajiri wa mambo mengi na huyu spika ni miongoni mwa 'utajiri' wetu na huenda anapatikana kwetu tu duniani kote!
Nakubaliana na wewe. Hapa suala la msingi si wao kufukuzwa uanachama. Ni je taratibu zilifuatwa za uteuzi wao? CDM wanasema hawakupeleka majina. NEC walisema hawakupokea majina. Spika ndie anayepaswa kuweka hadharani barua ya uteuzi kutoka CDM, fomu husika na minutes za kikao kilichowateua.KWani taratibu za wabunge wa viti maalumu hadi kufikia hatua ya kuapishwa IKOJE!? Ilifuatwa???? Angejibu hilo bwana spika angeonekana kweli anawapenda wanawake, otherwise tuendelee tu kutokuheshimu hata kanuni zetu wenyewe.
Wanatuonaga wananchi kama mabwege fulani hivi, yaani hadi WAGOGO nao wanatudharau, khaa!Nakubaliana na wewe. Hapa suala la msingi si wao kufukuzwa uanachama. Ni je taratibu zilifuatwa za uteuzi wao? CDM wanasema hawakupeleka majina. NEC walisema hawakupokea majina. Spika ndie anayepaswa kuweka hadharani barua ya uteuzi kutoka CDM, fomu husika na minutes za kikao kilichowateua.
Zaidi ya hapo ni kupotezeana wakati.
Amandla...
exactlyNi dhahiri sasa Tz ina utajiri wa mambo mengi na huyu spika ni miongoni mwa 'utajiri' wetu na huenda anapatikana kwetu tu duniani kote!
Kuna kitu kinaitwa precedence. Kama kila wakati ulikuwa unafanyia kazi barua bila kudai viambatisho hivyo, ukija vidai kwa mtu mwingine ni dhahiri utaonekana una lake jambo.kwahiyo kwamfano tuseme haikuambatanishwa hiyo ya sofia (pamoja na kwamba sidhani), na akawa alifanya makosa kwa sofia kwenda haraka, unafikiri hiyo ni sababu tosha ya kufanya makosa tena? ukifanya makosa mara ya kwanza unatakiwa kufanya makosa tena mara ya pili?
Mpaka Speaker Anatia Aibu Kwa Hizi Kauli ZakeMbonà kwa Sofia Simba hakutaka hayo, huyu ni mtu hatari inabidi Mungu ampumzishe Kama alivyompumzisha wa Executive
Tunawafukuza kwakuwa chadeam hakijawateuwa kuwa wabunge wa viti maalumu.Lengo la chadema kuwafuka kina Halima ni nini? nyie kila siku mnasema uongozi tufuate hekima katika maamuzi , mnataka kufukuza kwa kuwa ni wabunge wanakula pesa za ubunge au kwa kuwa sisi hatukupata hiyo nafasi? huo sio u dictator kweli kuamuka usiku na kufukuza wana chama wenu? tumieni busara sio kila mara mnakuwa na sintofahamu ambazo hazileti tija katika chama chenu, mnajizoofisha.
Kwani nini kinaendelea Kati ya hao aka COVID-19 na Ndugai?Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa kikao kilichofanya maamuzi ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa chama hicho...
kamwambie babayako ajiuzuru kwanza kwa familia yenu ndiyo uje umwambie na ndugai acheni ushabiki maandazi wenu nyie hamchelewi kugeuka leo afanye hivyo akija kubanwa nasheria nyingine ya kufukuza watu bila kufuata katiba mje tena na kingine wahuni nyie tunawajuwa sana mmfundishwa sasa fuateni alichosema kama mnania ya kuwaondoa bungeni mkiendelea kubisha msubiri 2025 tena mpigwe chini mpaka mtazeekaNdugai hajielewi kabisa, anajidai kuwafundisha Chadema nini cha kufanya kama vile hiyo ndio mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea, lakini ukimsoma mbele zaidi anadai hawezi kufukuza watu ambao hawakupewa nafasi ya kujitetea, kama waliitwa wakagoma kwenda alitaka wabebwe mgongoni?...