Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

Hiyo soko hapo nyuma kuna bonge la slum. .hiyo ni slum gani?? It seems nairobi iko na slum every corner
 
It's a Tanzania thing. You and I cannot understand......they have a thing for bus stations!!!
Comment from a dumbest ever seen....you will never understand because its not for small minded people sorry pass...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo hata airport mnazo nyingi hapo Nairobi kila ndege inatua kwenye Airport yake? Inaonesha hata maana ya regional bus terminal hujui maana yake

Unafikiri hiyo ni kama commuter bus stops
Nairobi mabasi ya kwenda mombasa na kisumu huwezi yakuta sehemu moja..
Vile vile ya north eastern
 
Comment from a dumbest ever seen....you will never understand because its not for small minded people sorry pass...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Your English is incoherent, what exactly are you trying to say?? ......Just type in Swahili!!!
 
Nairobi mabasi ya kwenda mombasa na kisumu huwezi yakuta sehemu moja..
Vile vile ya north eastern
Miundombinu yenu mibovu na hamna plan

Tanzania suala la regional bus terminal limezingatiwa toka uhuru na mikoa yote nchini inayo sababu ya umuhimu wake na ni sheria kupakia na kushushia abiria ndani ya stand ya mkoa husika, ukikiuka kuna penalties zipo kisheria

Ninyi huo utaratibu hamna kila coach inayo stand yake na muda wake binafsi wa kuondoka, Tanzania nzima mabus yote ya asubuhi yanayo uninformed departure time na yote yanatakiwa yawepo stand muda huo kwa ajili ya ukaguzi wa kipolice kabla ya kupakia abiria


Pia yamefungwa tracking systems na mamlaka ya usafirishaji kuwezesha kuwa monitored popote walipo kama wanazingatia sheria za usalama na speed

Hilo Kenya ni impossible dream
 
Wacha kujidanganya wewe, kwn huku ndio hakuna mda wa mabasi kuondoka..

Alafu pia mabasi mengi yana lounge zake, so place km msa na nrb kujenga stendi ni tricky sana...kw sababu itabidi ujenge nyingi sana,
 
Stand iko poa.Sema kuna kile kigroup ka wapiga debe... wenyewe wanajiita mawakala,aisee wale jamaa bado ni kile yaan ukifika pale wanakughasi ghasi kama ubungo.Nashauri mamlaka husika ilifuatilie
 

Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza.

Jiji zima mtajaza stand sasa,kama mtaamua kuziboresha kila moja.haya mambo ni mipango bana.
Duh asubuhi tu basi kumbe huwa zinatoka nyingi namna hio. Almost basi 50 na bado hazijaisha.

Niliwahi sikia zinaingia basi 700 hapo ubungo daily nikahisi uzushi ila kwa huu uwingi tu wa basi za kutoka huenda ni kweli.
 
Jiji au mji maana miundo mbinu yake sawa na mji sio
 
Kila kitu mnajenga nairobbery,baada ya miaka 4 mtaishindanisha ako ka kijiji chenu na mikoa yote ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…