mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Yetu ni ya makaratasi πππ Tena kutoka kwa world bank iliwatoa LDC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yetu ni ya makaratasi πππ Tena kutoka kwa world bank iliwatoa LDC?
Toka lini mkaonyesha style za bus stations wakat nyie hata mana ya bus terminal hamjui....tena bora ukalale tu...Aje sasa bus terminal inayokaa kujengwa miaka ya 1970s itupenye? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bus terminal za kisasa zinakaa hivi.
Hii design yenu mtaishi nayo miaka 100 ijayo.
Mlikuwa na nafasi ya kurekebisha lakini wapi.
View attachment 1493466View attachment 1493467View attachment 1493468
Comment from a dumbest ever seen....you will never understand because its not for small minded people sorry pass...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]It's a Tanzania thing. You and I cannot understand......they have a thing for bus stations!!!
Nairobi mabasi ya kwenda mombasa na kisumu huwezi yakuta sehemu moja..Kwahiyo hata airport mnazo nyingi hapo Nairobi kila ndege inatua kwenye Airport yake? Inaonesha hata maana ya regional bus terminal hujui maana yake
Unafikiri hiyo ni kama commuter bus stops
Your English is incoherent, what exactly are you trying to say?? ......Just type in Swahili!!!Comment from a dumbest ever seen....you will never understand because its not for small minded people sorry pass...[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Kwahiyo mabasi yamezagaa zagaa tu kama inzi kwa slumNairobi mabasi ya kwenda mombasa na kisumu huwezi yakuta sehemu moja..
Vile vile ya north eastern
Miundombinu yenu mibovu na hamna planNairobi mabasi ya kwenda mombasa na kisumu huwezi yakuta sehemu moja..
Vile vile ya north eastern
Nairobi mabasi ya kwenda mombasa na kisumu huwezi yakuta sehemu moja..
Vile vile ya north eastern
Wacha kujidanganya wewe, kwn huku ndio hakuna mda wa mabasi kuondoka..Miundombinu yenu mibovu na hamna plan
Tanzania suala la regional bus terminal limezingatiwa toka uhuru na mikoa yote nchini inayo sababu ya umuhimu wake na ni sheria kupakia na kushushia abiria ndani ya stand ya mkoa husika, ukikiuka kuna penalties zipo kisheria
Ninyi huo utaratibu hamna kila coach inayo stand yake na muda wake binafsi wa kuondoka, Tanzania nzima mabus yote ya asubuhi yanayo uninformed departure time na yote yanatakiwa yawepo stand muda huo kwa ajili ya ukaguzi wa kipolice kabla ya kupakia abiria
Pia yamefungwa tracking systems na mamlaka ya usafirishaji kuwezesha kuwa monitored popote walipo kama wanazingatia sheria za usalama na speed
Hilo Kenya ni impossible dream
Umesoma ukaelewa kwanzaKwahiyo mabasi yamezagaa zagaa tu kama inzi kwa slum
Sijakuona kwenye Uzi wa tz kuingia middle income country vipi ? Kule yupo tony anapambana pekeyake nimeona anakuita ukamsaidieUmesoma ukaelewa kwanza
Yetu ni ya makaratasi [emoji23][emoji23][emoji23] Tena kutoka kwa world bank iliwatoa LDC?
Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza.
Jiji zima mtajaza stand sasa,kama mtaamua kuziboresha kila moja.haya mambo ni mipango bana.
Jiji au mji maana miundo mbinu yake sawa na mji sioNairobi stendi tutajenga haja ikitokea.
Pia, jiji la Nairobi ni jiji la stendi mingi. Haliwezi shibishwa na stendi moja.
Stendi zake za kwenda kila kona ya nchi zimetapakaa kote. Hii pia ni kuwezesha biashara za streets mbali mbali.
Hatuwezi katupa mabasi yote eneo moja kama kijiji cha Dodoma. Tukifanya hivi tutamaliza uchumi wa maeneo mbali mbali ya jiji.
Nairobi kiuhalisia mji sio jijiNairobi ni jiji sio kijiji.
Roho mbaya na wivu ndio kinachowasumbua,tulikuambieni msubiri 2020 wenyewe mmeona,subiri sasa baada ya miaka 4 ndio mtatujua zaidiAje sasa bus terminal inayokaa kujengwa miaka ya 1970s itupenye? π π π
Bus terminal za kisasa zinakaa hivi. Hii design yenu mtaishi nayo miaka 100 ijayo. Mlikuwa na nafasi ya kurekebisha lakini wapi.
View attachment 1493466View attachment 1493467View attachment 1493468
Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. ππππ Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?
Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? π π π
Haya oneni pia Sonko amejenga soko ya masaa 24.
View attachment 1493446