Awamu hii mwizi hapigiwi kelele😂😂😂😂Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.
This time kiki zote zitakwama.....
Uzuri selikali yangu na ccm sijaona mtu akimshobokea huyo jamaa yenu anaehangaika kama kuku anataka kutaga.An empty head View attachment 1549625
And this time upuuzi wenu umekutana na Nguli wa SheriaMbina yeye ndio anajitesa?
Umeona kuna mtu anahangaika na Lisu?
.
Yeye ndio tangu afike anahangaika kama kuku anataka kutaga, mara hapa mara pale mara aseme hivi.
Lakini watu na nchi yao wanamuangalia tu na wamemwacha ajihangaikie atachoka tu
HahaaNashangaa hawajamkamata!! Mbona wanakuwa wema sana kwa Lissu tangu arudi.
Alikuwa anatetemeka vibaya sanaUnaambiwa Murotto alitaka kutokea dirishani lakini imeshindikana .
[emoji23][emoji23][emoji23]ni bora ungemuambia lissu apunguze hizo personal attacks kwa jpm ili mpate kura nyingi.Personal attacks zinapunguza kura za CCM na kuongeza za CHADEMA.
Avoid personal attacks.
Halafu ujifunze kuandika basi.
Sentensi ndefu sana haina mkato wala nukta
Muhutu anamuogopa Tundu Lissu.Uzuri selikali yangu na ccm sijaona mtu akimshobokea huyo jamaa yenu anaehangaika kama kuku anataka kutaga.
.
Watu wamemuacha ajihangaishe weee, hasira zikiisha atatulia ale ugali vizuri.
Hakuna majibu ktk hoja zake. Ndio maana wako kimya. Sio wako kimya kwsbbu wanapenda. Hapana. Hawapendi. Na wakijibu tu zinakuja hoja zingine. Kwahiyo ni bora kua kimya. Kumbuka kuna ndgu mmoja alisema tutampata tu. Si amerudi. Hazikupita Siku akajibiwa. Akaambiwa yeye si mharifu. Yeye hana makosa mpk aseme hivo. Wenye makosa ni hao wasiojulikana. Kwahiyo ndg yng kujibu hoja za huyu kiumbe kunahitaji umakini sn.Mbina yeye ndio anajitesa?
Umeona kuna mtu anahangaika na Lisu?
.
Yeye ndio tangu afike anahangaika kama kuku anataka kutaga, mara hapa mara pale mara aseme hivi.
Lakini watu na nchi yao wanamuangalia tu na wamemwacha ajihangaikie atachoka tu
Ati anashangaaa!!!.. kibaraka akumbuke ana kesi.. huyu ni hatari sana.. hata mwili wake.. hakukumbuka ya gari.. hadi kamaliza kukamilisha ubaraka wake aliotumwa na mabeberu.. hafai kuwa kiongozi wa nchi hii hata kwa sekunde moja.. tukisema ilikuwa mipango yao wenyewe.. bado munapiga kelele. Ati nini!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Magufuli 2020 [emoji817]
Upo sahihi kabisa mkuu.Sasa watajitokeza vilaza Fulani wa lumumba kuhara.Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Dah sio jamaa kweli anajua sheria mpaka sheria inamjuaCHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji dhidi ya Mh. Lissu la tarehe 7 September 2017.
Mh. Lissu aliambatana na mgombea mwenza wake Mh. Salum Mwalimu na alipokelewa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP Giles Muroto.
Katika mazungumzo yake na SACP Muroto, Mh. Lissu alisema kwamba ameamua kuja yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa kulipata hilo kwa njia zingine kushindikana.
Kwa upande wake, SACP Muroto alimweleza Mh. Lissu kwamba Jeshi la Polisi mkoani hapo linahitaji muda zaidi ili kujiandaa kulikabidhi gari hilo kwake.
Aidha, SACP Muroto alimweleza Mh Lissu kwamba Jeshi la Polisi linamhitaji atoe maelezo kwa Jeshi la Polisi kuhusu kushambuliwa kwake September 2017.
Mh. Lissu alijibu kwamba yeye yuko tayari kutoa maelezo polisi kwa tarehe na muda utakaokuwa muafaka kwa pande zote mbili.
Mh. Lissu alisisitiza mshangao wake kwamba hadi sasa, takriban miaka mitatu tangu kushambuliwa kwake, Jeshi la Polisi halijafanya uchunguzi wowote, ikiwemo kumhoji yeye na dereva wake Adam Bakari Mohamed, licha ya kuahidi kwamba lingefanya tangu Mh. Lissu akiwa hospitalini nchini Kenya.
Imetolewa leo Alhamis, Agosti 27, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
[emoji23][emoji23][emoji23]ni bora ungemuambia lissu apunguze hizo personal attacks kwa jpm ili mpate kura nyingi.
Inauma sana ,yani polisi this time round wameni furahisha hakuna polisi yoyote anayeangaika naye.Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.
This time kiki zote zitakwama.....
Wanaweza kumjibu? Wao kila swali wanaloulizwa wanajibu "esijiara, sitigilazi, zahanati 400, ndege na flayiova" huo ndiyo wimbo wanaoimbia kila mtu. Swali lolote wanaloulizwa majibu ndiyo hayoUzuri selikali yangu na ccm sijaona mtu akimshobokea huyo jamaa yenu anaehangaika kama kuku anataka kutaga.
.
Watu wamemuacha ajihangaishe weee, hasira zikiisha atatulia ale ugali vizuri.
Kawawahi wasije pata cha kusema kwenye kampeni akili kibwaaaaathetallest, Sasa hapo kuna kiki gan mkuu? Yeye kaenda polisi ili wamuhoji ambapo polisi walisema hatoi ushirikiano yeye kaleta ushirikiano wewe unasema anataka kiki
Ulipaswa kumpongeza mkuu kwa ushirikiano wake wa polisi maana wale polisi iliyowaita wasiojulikana sasa inabidi wajulikane maana ushirikiano kwa pande zote mbili sasa unapatikana
Another trap....Lissu ...Duuu utauwa watuBora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Nadhani ni yote mawili kwakuwa kama wangemruhusu angeondoka naloKalifuata au kaenda kuliangalia?!