Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.

This time kiki zote zitakwama.....
Awamu hii mwizi hapigiwi kelele😂😂😂😂
 
Mbina yeye ndio anajitesa?

Umeona kuna mtu anahangaika na Lisu?
.
Yeye ndio tangu afike anahangaika kama kuku anataka kutaga, mara hapa mara pale mara aseme hivi.
Lakini watu na nchi yao wanamuangalia tu na wamemwacha ajihangaikie atachoka tu
And this time upuuzi wenu umekutana na Nguli wa Sheria
 
Personal attacks zinapunguza kura za CCM na kuongeza za CHADEMA.

Avoid personal attacks.

Halafu ujifunze kuandika basi.

Sentensi ndefu sana haina mkato wala nukta
[emoji23][emoji23][emoji23]ni bora ungemuambia lissu apunguze hizo personal attacks kwa jpm ili mpate kura nyingi.
 
Uzuri selikali yangu na ccm sijaona mtu akimshobokea huyo jamaa yenu anaehangaika kama kuku anataka kutaga.
.
Watu wamemuacha ajihangaishe weee, hasira zikiisha atatulia ale ugali vizuri.
Muhutu anamuogopa Tundu Lissu.
 
Mbina yeye ndio anajitesa?

Umeona kuna mtu anahangaika na Lisu?
.
Yeye ndio tangu afike anahangaika kama kuku anataka kutaga, mara hapa mara pale mara aseme hivi.
Lakini watu na nchi yao wanamuangalia tu na wamemwacha ajihangaikie atachoka tu
Hakuna majibu ktk hoja zake. Ndio maana wako kimya. Sio wako kimya kwsbbu wanapenda. Hapana. Hawapendi. Na wakijibu tu zinakuja hoja zingine. Kwahiyo ni bora kua kimya. Kumbuka kuna ndgu mmoja alisema tutampata tu. Si amerudi. Hazikupita Siku akajibiwa. Akaambiwa yeye si mharifu. Yeye hana makosa mpk aseme hivo. Wenye makosa ni hao wasiojulikana. Kwahiyo ndg yng kujibu hoja za huyu kiumbe kunahitaji umakini sn.


Na hichi alichofanya Leo ni mtaji mzuri sn wa kisiasa. Na atalizungumzia tu majukwaani.
 
Ati anashangaaa!!!.. kibaraka akumbuke ana kesi.. huyu ni hatari sana.. hata mwili wake.. hakukumbuka ya gari.. hadi kamaliza kukamilisha ubaraka wake aliotumwa na mabeberu.. hafai kuwa kiongozi wa nchi hii hata kwa sekunde moja.. tukisema ilikuwa mipango yao wenyewe.. bado munapiga kelele. Ati nini!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Magufuli 2020 [emoji817]

Acha kujiaibisha. Kama ilikuwa ni mipango yao wenyewe na ndivo Polisi wanavojua, mbona hawajamfungulia hao wahusika?? Hujui kuwa kwa kusema hivo unaonesha madhaifu ya Polisi kwenye jambo hili??
 
Kimya wapi hamuwezi kumkamata mnajua kitakachowatokea japo mnajifanya hamnazo 😂😂😂
 
Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Upo sahihi kabisa mkuu.Sasa watajitokeza vilaza Fulani wa lumumba kuhara.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji dhidi ya Mh. Lissu la tarehe 7 September 2017.

Mh. Lissu aliambatana na mgombea mwenza wake Mh. Salum Mwalimu na alipokelewa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP Giles Muroto.

Katika mazungumzo yake na SACP Muroto, Mh. Lissu alisema kwamba ameamua kuja yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa kulipata hilo kwa njia zingine kushindikana.

Kwa upande wake, SACP Muroto alimweleza Mh. Lissu kwamba Jeshi la Polisi mkoani hapo linahitaji muda zaidi ili kujiandaa kulikabidhi gari hilo kwake.

Aidha, SACP Muroto alimweleza Mh Lissu kwamba Jeshi la Polisi linamhitaji atoe maelezo kwa Jeshi la Polisi kuhusu kushambuliwa kwake September 2017.

Mh. Lissu alijibu kwamba yeye yuko tayari kutoa maelezo polisi kwa tarehe na muda utakaokuwa muafaka kwa pande zote mbili.

Mh. Lissu alisisitiza mshangao wake kwamba hadi sasa, takriban miaka mitatu tangu kushambuliwa kwake, Jeshi la Polisi halijafanya uchunguzi wowote, ikiwemo kumhoji yeye na dereva wake Adam Bakari Mohamed, licha ya kuahidi kwamba lingefanya tangu Mh. Lissu akiwa hospitalini nchini Kenya.

Imetolewa leo Alhamis, Agosti 27, 2020 na;

Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Dah sio jamaa kweli anajua sheria mpaka sheria inamjua
 
Wengi wanaweza kudhani kuwa polisi wamemuogopa Lisu,ila wengi humu wamesahau kuwa moja kati ya jambo lililoshauriwa sana hata humu ndani ni kuachwa kwa Lisu aendelee na mambo yake hasa kwa wakati huu ili kusaidia kupoteza nguvu nyingine ya ushawishi wa kisiasa.
Anachojua Lisu ni kuwa polisi watamkamata ndio maana kaenda polisi ili lengo la polisi litimie na yeye apate kile anacho kihitaji,lakini wanachofanya polisi ni kumtoa nje ya kile ambacho Lisu anakitaka kwa muda huu.
Kitendo cha polisi kumkamata Lisu kwa wakati huu kitamtengenezea sauti ya kisiasa katika uchaguzi huu na mataifa yataona kuwa serikali inafanya hujuma kumzuia Lisu asishiriki katika uchaguzi huu.
Hata ujio wake,alirejea karibia na uchaguzi akiwa tayari amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama chake kwa kigezo kikubwa cha kutafuta muingiliano kati yake,polisi na serikali.
Anachofanya sasa ni kujairbu kutafuta sababu ya muingiliano huo ambao kwa kiasi kikubwa unakwepwa na polisi.
Tukumbuke kwamba,uchaguzi huu atakua na ulizni wa serikali kama mgombea wa uraisi na polisi wanauwezo wa kumakamta lakini hatamkamata kwa wakati huu.
Walikuwa wana nafasi ya kumkamata hata akiwa ndani ya ndege pale uwanjani,walikini walimuacha makusudi kabisa na hata mikutano yake mingine iliyoendelea polisi walikuwepo na wata muacha na yeye ana jua hilo ndio maana karudi wakati huu.
 
ushabiki wa kijinga sana chadema sasa kuna kiki hapo? sasa ndiyo kesi ianze kwanza aende akashitaki ili ahojiwe upelelezi uanze aache kuuliza upelelezi umefikia wapi wakati alikimbia kuhojiwa ala hajaend kusitaki kuw katobolewa na vidude vyenye ncha kali
 
Hakuna kitu kina umiza kama unapofanya kitu watu wakufanyie kitu ili upate pakusemea then unakuta watu wamechuna.
1. Mapokezi Dar....... Police wala hawakumsumbua
2. Korona Tanzania..... Wala hakuna alie mjibu.
3. Kaanza kampeni mapema....... Watu kimyaaaaa
4. Kwenda police......... RPC angemkaribisha kabisa supu na chapati.

This time kiki zote zitakwama.....
Inauma sana ,yani polisi this time round wameni furahisha hakuna polisi yoyote anayeangaika naye.
 
Uzuri selikali yangu na ccm sijaona mtu akimshobokea huyo jamaa yenu anaehangaika kama kuku anataka kutaga.
.
Watu wamemuacha ajihangaishe weee, hasira zikiisha atatulia ale ugali vizuri.
Wanaweza kumjibu? Wao kila swali wanaloulizwa wanajibu "esijiara, sitigilazi, zahanati 400, ndege na flayiova" huo ndiyo wimbo wanaoimbia kila mtu. Swali lolote wanaloulizwa majibu ndiyo hayo
 
thetallest, Sasa hapo kuna kiki gan mkuu? Yeye kaenda polisi ili wamuhoji ambapo polisi walisema hatoi ushirikiano yeye kaleta ushirikiano wewe unasema anataka kiki

Ulipaswa kumpongeza mkuu kwa ushirikiano wake wa polisi maana wale polisi iliyowaita wasiojulikana sasa inabidi wajulikane maana ushirikiano kwa pande zote mbili sasa unapatikana
Kawawahi wasije pata cha kusema kwenye kampeni akili kibwaaaaa
 
Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Another trap....Lissu ...Duuu utauwa watu
 
Back
Top Bottom