Alienda police kuchukua gari lake.thetallest, Sasa hapo kuna kiki gan mkuu? Yeye kaenda polisi ili wamuhoji ambapo polisi walisema hatoi ushirikiano yeye kaleta ushirikiano wewe unasema anataka kiki
Ulipaswa kumpongeza mkuu kwa ushirikiano wake wa polisi maana wale polisi iliyowaita wasiojulikana sasa inabidi wajulikane maana ushirikiano kwa pande zote mbili sasa unapatikana
Kwa kosa lipi braza?? Yaani yeye ni victim na hujaridhika unataka akamatwe kabisa??? Hahahaha bro you're not serious.Nashangaa hawajamkamata!! Mbona wanakuwa wema sana kwa Lissu tangu arudi.
Ni kweli wapo wafia chama au pro jamaa yangu. Lakini unaposoma comments zao, unavunjika moyo.Honestly, nyie watatu ingalau [emoji115] [emoji115][emoji115][emoji115] kuna shida ya ufahamu ktk bongo zetu....
Nimejaribu kupata logic ya hoja zenu, nimeshindwa kuona kama zina connection na mada zaidi tu kwamba ni maandishi tu yasiyo na substance ndani yake....
Kwa sababu mantiki iliyo ktk maelezo ya msingi ya mada hii ni:
å Jamaa (yeye mwenyewe - Tundu Lissu), baada ya kuona hakuna uchunguzi unaoendelea kwenye ishu hii ameamua kwenda kuomba apewe gari lake ili maisha yaendelee....
å Tena ni baada ya "..utaratibu wa kawaida kulipata kwa njia zingine " kushindikana. Kwa statement hii inaonesha wazi kuwa kumbe kulikuwa na mawasiliano yanaendelea kati ya muathirika wa unyama ule na jeshi la polisi)....
å In response, SACP Muroto akajibu kusema, jeshi linahitaji muda zaidi kujiandaa kumkabidhi gari hilo kwake....
å Sambamba na hilo, SACP Muroto akachomokea na ishu ya kutaka maelezo ya mwathirika (Tundu Lissu) kuhusu shambulio hilo (miaka mitatu iliyopita!!) something very ridiculous, right?
å In response, Tundu Lissu akamwambia, hakuna shida. Yuko tayari kutoa maelezo yake polisi kwa trh na muda mwafaka kwa pande zote.....
å Lakini wakati huohuo TL akaonesha mshangao wake kwa jeshi hilo kupitia SACP Muroto kwa kushindwa kumhoji yeye na dereva wake kwa miaka mitatu sasa baada ya shambulio licha ya Jeshi hilo kuwa limewataarifu Lissu na dereva wake kuwa wangeenda kuwahoji na kuchukua maelezo yao walipokuwa Nairobi Hospital - Kenya....
Lakini in very surprising circumstances, Polisi wakaingia mitini na baada ya hapo zikafuata mfululizo wa kauli za kisiasa kwa polisi wetu hawa huku wakiitupa sheria kule....
BAADA YA MAELEZO HAYA....
Hebu nyie watatu tuambieni hoja zenu ni nini? Mimi nawaona kama vile nyie siyo watu mnaotumia akili kufikiri. Ni kama maroboti fulani hivi....
Yaani mmeshindwa hata kung'amua kuwa hii "move" ya Tundu Lissu ina lengo maalumu la kuliweka Jeshi la polisi kwenye target yake.....
Na polisi wapende au wasipende wataingia tu (na ofcoz walishaingia wenyewe kwa hiari yao kitambo tu)...
Kwa sababu Polisi wanapoacha kufanya kazi yao au kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria badala yake wanafuata maelekezo ya kisiasa yasiyozingatia sheria zinazoongoza utendaji kazi wao kutoka kwa mabosi wao "raia" baki kabisa kina Makonda ama Magufuli, tayari ni KUPOTEA KWA KIWANGO CHA JUU SANA....!!
Hivi dereva yuko wapi?Wasiojulikana mpaka wajulikane.
Kwa sasa hivi huko Dodoma Tundu lissu anakaa nyumba IPI... Kule alikoshambuliwa? Au hoteliniBora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
SitiAlitaka kuwapa majibu physically na kuandika statement kwenye counterbook ya polisi..... polisi wamegwaya!
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!!
Mimi niliuliza, kwasababu gari hilo ni sehemu ya uchunguzi ambao haujaisha hawezi kulichukua.Honestly, nyie watatu ingalau 👆 👆👆👆 kuna shida ya ufahamu ktk bongo zetu....
Nimejaribu kupata logic ya hoja zenu, nimeshindwa kuona kama zina connection na mada zaidi tu kwamba ni maandishi tu yasiyo na substance ndani yake....
Kwa sababu mantiki iliyo ktk maelezo ya msingi ya mada hii ni:
å Jamaa (yeye mwenyewe - Tundu Lissu), baada ya kuona hakuna uchunguzi unaoendelea kwenye ishu hii ameamua kwenda kuomba apewe gari lake ili maisha yaendelee....
å Tena ni baada ya "..utaratibu wa kawaida kulipata kwa njia zingine " kushindikana. Kwa statement hii inaonesha wazi kuwa kumbe kulikuwa na mawasiliano yanaendelea kati ya muathirika wa unyama ule na jeshi la polisi)....
å In response, SACP Muroto akajibu kusema, jeshi linahitaji muda zaidi kujiandaa kumkabidhi gari hilo kwake....
å Sambamba na hilo, SACP Muroto akachomokea na ishu ya kutaka maelezo ya mwathirika (Tundu Lissu) kuhusu shambulio hilo (miaka mitatu iliyopita!!) something very ridiculous, right?
å In response, Tundu Lissu akamwambia, hakuna shida. Yuko tayari kutoa maelezo yake polisi kwa trh na muda mwafaka kwa pande zote.....
å Lakini wakati huohuo TL akaonesha mshangao wake kwa jeshi hilo kupitia SACP Muroto kwa kushindwa kumhoji yeye na dereva wake kwa miaka mitatu sasa baada ya shambulio licha ya Jeshi hilo kuwa limewataarifu Lissu na dereva wake kuwa wangeenda kuwahoji na kuchukua maelezo yao walipokuwa Nairobi Hospital - Kenya....
Lakini in very surprising circumstances, Polisi wakaingia mitini na baada ya hapo zikafuata mfululizo wa kauli za kisiasa kwa polisi wetu hawa huku wakiitupa sheria kule....
BAADA YA MAELEZO HAYA....
Hebu nyie watatu tuambieni hoja zenu ni nini? Mimi nawaona kama vile nyie siyo watu mnaotumia akili kufikiri. Ni kama maroboti fulani hivi....
Yaani mmeshindwa hata kung'amua kuwa hii "move" ya Tundu Lissu ina lengo maalumu la kuliweka Jeshi la polisi kwenye target yake.....
Na polisi wapende au wasipende wataingia tu (na ofcoz walishaingia wenyewe kwa hiari yao kitambo tu)...
Kwa sababu Polisi wanapoacha kufanya kazi yao au kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria badala yake wanafuata maelekezo ya kisiasa yasiyozingatia sheria zinazoongoza utendaji kazi wao kutoka kwa mabosi wao "raia" baki kabisa kina Makonda ama Magufuli, tayari ni KUPOTEA KWA KIWANGO CHA JUU SANA....!!
Utafaa sana ukiwa bongo movieNajaribu kufikiria mazungumzo kati ya Lissu na Afande
Lissu : Afande habari za kazi
Afande: Nzuri karibu
Lissu :Nimeelezwa gari yangu namba XYZ ipo hapa kituoni kwako toka tarehe ABC mwaka 2017 kweli si kweli
Afande : Sahihi kabisa, gari hilo tunalo
Lissu : Kwa nini liko hapa?
Afande: Mm tulilichukua kutoka na tukio la uhalifu la mmiliki wake kushambuliwa tarehe hiyo akiwa ndani yake, tumelishiilia kwa ajili ya uchunguzi
Lissu : Uchunguzi umefikia wapi?
Afande : Kimya, Anazuga kumuita Afande Manywele
Lissu : Labda hukunisikia, nauliza tena uchunguzi umefikia wapi?
Afande : Tupo kwenye mchakato wa kuchunguza, tulikuwa tunangoja urudi tuchunguze
Lissu : Ningekufa je ina maana msingechunguza
Afande : Kimya
Lissu : Afande mbona hunijibu
Afande : Hayo mambo ya kufa achana nayo, maadamu hukufa ni jambo jema
Lissu : Nahitaji kutoa maelezo ya shambulizi dhidi yangu ili yasaidie uchunguzi
Afande : Kigugumizi, anashika hiki mara anashika kile, anatoa leso anajifuta..
mmh eeh mhhh mheshimiwa subiri kidogo tua... tuanda.. tuandae utaratibu mzuri wa jambo hilo
Lissu : Si ni jukumu la raia kutoa taarifa za uhalifu kwa mujibu wa katiba ibara ya XYZ na sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu namba PQR?
Afande : Ni kweli mheshimiwa
Lissu : Sasa mbona unajivutavuta mimi kutimiza wajibu wangu wa kisheria wa kuripoti tukio la kihalifu dhidi yangu?
Mara simu kutoka mamlaka za juu inaita, Afande anaenda kuisikiiza, kisha anarudi
Afande : Mheshimiwa haya mambo unayoyauliza kwa kweli yako nje ya uwezo wangu
Lissu : Gari naweza kulichukua lini?
Afande : Muda wowote tutakuandalia utaratibu
Lissu : Hata kama uchunguzi haujakamilia naweza kulichukua?
Afande : Kimya
Lissu anamwambia Salum Mwalimu : Makamu wa rais turudi kwenye ofisi za chama chetu tukajiandae na kampeni, Safari hii CCM wamekwisha, tukajadili namna ya kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, ajira kwa vijana wetu, kueta katiba mpya na bora, kupambana na ufisadi kwa dhati, Maslahi ya mkulima, utawala bora, kuondoa tatizo la TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi, kurejesha na kupanua demokrasia, kuwalipa kifuta machozi waliobomolewa nyumba kikatili, kuheshimu na kuwezesha wanawake, kuboresha mpango wa gesi, kusaidia wavuvi, kupunguza rate ya marejesho bodi ya mikopo, kuboresha diplomasia yetu, kuondoa tatizo la lishe duni kwa watoto wetu.
Salum Mwalimu : Nimekuelewa mheshimiwa rais, twende tukapange mipango ya kuomba ridhaa kwa wananchi, Tafadhali usisahau Zanzibar yenye mamlaka kamili
Lissu na Mwalimu wanatokomea zao
Sidhani kama wangeweza kumruhusu kulichukua kwasababu za kiuchunguzi, wangempa ningewaona wanamatatizo kwenye hili.Nadhani ni yote mawili kwakuwa kama wangemruhusu angeondoka nalo
Nilishindwa kuelewa,Ina maana maelezo hayajitoshelezi😳😳ama umeshindwa kuelewa?
We unadhani kafata gari.... Zwazwa WA LB7Daah Tanzania jamani huyu kafuata gari lake bovu anaambiwa jamaa ana akili kubwa sana huyu anayetamka ana akili ya namna gani?
Na ndo maana MATAGA wamepoteana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila level ya kujiaminj lissu Ni ya Mars [emoji1787][emoji1787][emoji123]
Nani amkamate sasa😂😂, serikali makini hii haiwezi kufanya matumizi mabaya ya rasilimali zake haswa kipindi hiki muhimuYaani lissu anatafuta kila njia akamatwe!
Chuma kama chuma.... Basi muombee kura TAL kwa Hao watu hapoHuyu jamaa ana akili sana. Nipo na watu hapa tunacheka sana huyu jamaa ni kituko