Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

thetallest, Sasa hapo kuna kiki gan mkuu? Yeye kaenda polisi ili wamuhoji ambapo polisi walisema hatoi ushirikiano yeye kaleta ushirikiano wewe unasema anataka kiki

Ulipaswa kumpongeza mkuu kwa ushirikiano wake wa polisi maana wale polisi iliyowaita wasiojulikana sasa inabidi wajulikane maana ushirikiano kwa pande zote mbili sasa unapatikana
Alienda police kuchukua gari lake.
 
Honestly, nyie watatu ingalau [emoji115] [emoji115][emoji115][emoji115] kuna shida ya ufahamu ktk bongo zetu....

Nimejaribu kupata logic ya hoja zenu, nimeshindwa kuona kama zina connection na mada zaidi tu kwamba ni maandishi tu yasiyo na substance ndani yake....

Kwa sababu mantiki iliyo ktk maelezo ya msingi ya mada hii ni:

å Jamaa (yeye mwenyewe - Tundu Lissu), baada ya kuona hakuna uchunguzi unaoendelea kwenye ishu hii ameamua kwenda kuomba apewe gari lake ili maisha yaendelee....

å Tena ni baada ya "..utaratibu wa kawaida kulipata kwa njia zingine " kushindikana. Kwa statement hii inaonesha wazi kuwa kumbe kulikuwa na mawasiliano yanaendelea kati ya muathirika wa unyama ule na jeshi la polisi)....

å In response, SACP Muroto akajibu kusema, jeshi linahitaji muda zaidi kujiandaa kumkabidhi gari hilo kwake....

å Sambamba na hilo, SACP Muroto akachomokea na ishu ya kutaka maelezo ya mwathirika (Tundu Lissu) kuhusu shambulio hilo (miaka mitatu iliyopita!!) something very ridiculous, right?

å In response, Tundu Lissu akamwambia, hakuna shida. Yuko tayari kutoa maelezo yake polisi kwa trh na muda mwafaka kwa pande zote.....

å Lakini wakati huohuo TL akaonesha mshangao wake kwa jeshi hilo kupitia SACP Muroto kwa kushindwa kumhoji yeye na dereva wake kwa miaka mitatu sasa baada ya shambulio licha ya Jeshi hilo kuwa limewataarifu Lissu na dereva wake kuwa wangeenda kuwahoji na kuchukua maelezo yao walipokuwa Nairobi Hospital - Kenya....

Lakini in very surprising circumstances, Polisi wakaingia mitini na baada ya hapo zikafuata mfululizo wa kauli za kisiasa kwa polisi wetu hawa huku wakiitupa sheria kule....

BAADA YA MAELEZO HAYA....

Hebu nyie watatu tuambieni hoja zenu ni nini? Mimi nawaona kama vile nyie siyo watu mnaotumia akili kufikiri. Ni kama maroboti fulani hivi....

Yaani mmeshindwa hata kung'amua kuwa hii "move" ya Tundu Lissu ina lengo maalumu la kuliweka Jeshi la polisi kwenye target yake.....

Na polisi wapende au wasipende wataingia tu (na ofcoz walishaingia wenyewe kwa hiari yao kitambo tu)...

Kwa sababu Polisi wanapoacha kufanya kazi yao au kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria badala yake wanafuata maelekezo ya kisiasa yasiyozingatia sheria zinazoongoza utendaji kazi wao kutoka kwa mabosi wao "raia" baki kabisa kina Makonda ama Magufuli, tayari ni KUPOTEA KWA KIWANGO CHA JUU SANA....!!
Ni kweli wapo wafia chama au pro jamaa yangu. Lakini unaposoma comments zao, unavunjika moyo.

Ninachokiona kwa team hiyo , ni kuwa hawakuamini kama jamaa angelirudi na kuendelea na maisha kama kawaida . Na pia hawaamini ktk mawazo mbadala au tofauti na mapenzi yao.
 
Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Kwa sasa hivi huko Dodoma Tundu lissu anakaa nyumba IPI... Kule alikoshambuliwa? Au hotelini
 
Honestly, nyie watatu ingalau 👆 👆👆👆 kuna shida ya ufahamu ktk bongo zetu....

Nimejaribu kupata logic ya hoja zenu, nimeshindwa kuona kama zina connection na mada zaidi tu kwamba ni maandishi tu yasiyo na substance ndani yake....

Kwa sababu mantiki iliyo ktk maelezo ya msingi ya mada hii ni:

å Jamaa (yeye mwenyewe - Tundu Lissu), baada ya kuona hakuna uchunguzi unaoendelea kwenye ishu hii ameamua kwenda kuomba apewe gari lake ili maisha yaendelee....

å Tena ni baada ya "..utaratibu wa kawaida kulipata kwa njia zingine " kushindikana. Kwa statement hii inaonesha wazi kuwa kumbe kulikuwa na mawasiliano yanaendelea kati ya muathirika wa unyama ule na jeshi la polisi)....

å In response, SACP Muroto akajibu kusema, jeshi linahitaji muda zaidi kujiandaa kumkabidhi gari hilo kwake....

å Sambamba na hilo, SACP Muroto akachomokea na ishu ya kutaka maelezo ya mwathirika (Tundu Lissu) kuhusu shambulio hilo (miaka mitatu iliyopita!!) something very ridiculous, right?

å In response, Tundu Lissu akamwambia, hakuna shida. Yuko tayari kutoa maelezo yake polisi kwa trh na muda mwafaka kwa pande zote.....

å Lakini wakati huohuo TL akaonesha mshangao wake kwa jeshi hilo kupitia SACP Muroto kwa kushindwa kumhoji yeye na dereva wake kwa miaka mitatu sasa baada ya shambulio licha ya Jeshi hilo kuwa limewataarifu Lissu na dereva wake kuwa wangeenda kuwahoji na kuchukua maelezo yao walipokuwa Nairobi Hospital - Kenya....

Lakini in very surprising circumstances, Polisi wakaingia mitini na baada ya hapo zikafuata mfululizo wa kauli za kisiasa kwa polisi wetu hawa huku wakiitupa sheria kule....

BAADA YA MAELEZO HAYA....

Hebu nyie watatu tuambieni hoja zenu ni nini? Mimi nawaona kama vile nyie siyo watu mnaotumia akili kufikiri. Ni kama maroboti fulani hivi....

Yaani mmeshindwa hata kung'amua kuwa hii "move" ya Tundu Lissu ina lengo maalumu la kuliweka Jeshi la polisi kwenye target yake.....

Na polisi wapende au wasipende wataingia tu (na ofcoz walishaingia wenyewe kwa hiari yao kitambo tu)...

Kwa sababu Polisi wanapoacha kufanya kazi yao au kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria badala yake wanafuata maelekezo ya kisiasa yasiyozingatia sheria zinazoongoza utendaji kazi wao kutoka kwa mabosi wao "raia" baki kabisa kina Makonda ama Magufuli, tayari ni KUPOTEA KWA KIWANGO CHA JUU SANA....!!
Mimi niliuliza, kwasababu gari hilo ni sehemu ya uchunguzi ambao haujaisha hawezi kulichukua.
 
Najaribu kufikiria mazungumzo kati ya Lissu na Afande

Lissu : Afande habari za kazi

Afande: Nzuri karibu

Lissu :Nimeelezwa gari yangu namba XYZ ipo hapa kituoni kwako toka tarehe ABC mwaka 2017 kweli si kweli

Afande : Sahihi kabisa, gari hilo tunalo

Lissu : Kwa nini liko hapa?

Afande: Mm tulilichukua kutoka na tukio la uhalifu la mmiliki wake kushambuliwa tarehe hiyo akiwa ndani yake, tumelishiilia kwa ajili ya uchunguzi

Lissu : Uchunguzi umefikia wapi?

Afande : Kimya, Anazuga kumuita Afande Manywele

Lissu : Labda hukunisikia, nauliza tena uchunguzi umefikia wapi?

Afande : Tupo kwenye mchakato wa kuchunguza, tulikuwa tunangoja urudi tuchunguze

Lissu : Ningekufa je ina maana msingechunguza

Afande : Kimya

Lissu : Afande mbona hunijibu

Afande : Hayo mambo ya kufa achana nayo, maadamu hukufa ni jambo jema

Lissu : Nahitaji kutoa maelezo ya shambulizi dhidi yangu ili yasaidie uchunguzi

Afande : Kigugumizi, anashika hiki mara anashika kile, anatoa leso anajifuta..
mmh eeh mhhh mheshimiwa subiri kidogo tua... tuanda.. tuandae utaratibu mzuri wa jambo hilo

Lissu : Si ni jukumu la raia kutoa taarifa za uhalifu kwa mujibu wa katiba ibara ya XYZ na sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu namba PQR?

Afande : Ni kweli mheshimiwa

Lissu : Sasa mbona unajivutavuta mimi kutimiza wajibu wangu wa kisheria wa kuripoti tukio la kihalifu dhidi yangu?

Mara simu kutoka mamlaka za juu inaita, Afande anaenda kuisikiiza, kisha anarudi

Afande : Mheshimiwa haya mambo unayoyauliza kwa kweli yako nje ya uwezo wangu

Lissu : Gari naweza kulichukua lini?

Afande : Muda wowote tutakuandalia utaratibu

Lissu : Hata kama uchunguzi haujakamilia naweza kulichukua?

Afande : Kimya

Lissu anamwambia Salum Mwalimu : Makamu wa rais turudi kwenye ofisi za chama chetu tukajiandae na kampeni, Safari hii CCM wamekwisha, tukajadili namna ya kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, ajira kwa vijana wetu, kueta katiba mpya na bora, kupambana na ufisadi kwa dhati, Maslahi ya mkulima, utawala bora, kuondoa tatizo la TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi, kurejesha na kupanua demokrasia, kuwalipa kifuta machozi waliobomolewa nyumba kikatili, kuheshimu na kuwezesha wanawake, kuboresha mpango wa gesi, kusaidia wavuvi, kupunguza rate ya marejesho bodi ya mikopo, kuboresha diplomasia yetu, kuondoa tatizo la lishe duni kwa watoto wetu.

Salum Mwalimu : Nimekuelewa mheshimiwa rais, twende tukapange mipango ya kuomba ridhaa kwa wananchi, Tafadhali usisahau Zanzibar yenye mamlaka kamili

Lissu na Mwalimu wanatokomea zao
Utafaa sana ukiwa bongo movie
 
Lissu anaweka mitego kila mahali kaanza na NEC tayari wamevaa mtego na sasa

Polisi nao wameshauvaa,maana yeye sasahivi atakuwa anawasumbua kuhusu gari yake tu,wakisema bado maana yake inabidi waseme wamefikia wapi katika uchunguzi wao au asubiri kwa muda gani? ni ni kina nani wauaji wake[emoji3][emoji3] patamu hapo,

Na wakirudisha gari tu inabidi wawe na majibu yote ama wameshindwa au wamewapata wauaji hapo ndipo ulimwengu utajua tuna jeshi la ajabu kiasi gani na hapo ndio bwana Amsterdam itabidi aanze kazi yake[emoji3]

Lissu akili kubwa sana,itawachukua muda kuendena na spidi yake
 
Nadhani ni yote mawili kwakuwa kama wangemruhusu angeondoka nalo
Sidhani kama wangeweza kumruhusu kulichukua kwasababu za kiuchunguzi, wangempa ningewaona wanamatatizo kwenye hili.

Hilo gari ni sehemu muhimu sana katika uchunguzi kitaalam.

Ingawa nafahamu hawawezi kujichunguza.
 
Wazee wa krokwini iliyopakwa sukari hadi muda huu hawaamini kwamba hamna mwenye muda nao
 
Yaani lissu anatafuta kila njia akamatwe!
Nani amkamate sasa😂😂, serikali makini hii haiwezi kufanya matumizi mabaya ya rasilimali zake haswa kipindi hiki muhimu
Tundu hana madhara kwa serikali na ndio maana naendelea kusema kweli alifanyiwa ukatili na waliompigia risasi ila asilazimishe kuwaaminisha watu ati alipigwa risasi na rais John Pombe Magufuli au serikali yake.
A report kwenye vyombo vya usalama na kutoa ushirikiano kwa shauri hilo ili uchunguzi ukamilike na haki itendeke
 
Hehehe Jamaa haogopi tena kifo wala mateso... Huu ujasiri wake ipo siku utaleta matunda positive.. Vile vijana now wana amka na kuacha uoga...Nchi watu tulikuwa waoga sana.. Ila jamaa anachofanya anaweka attitude fulani hvi watu waache uoga
 
Back
Top Bottom