EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mtamuelewa tu, yaani mmeiba fomu za madwani na wabunge kama mnajiamini si muweke fair play muoneJamaa naona anatafuta kiki ya uchaguz baada ya kuona nobody cares
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtamuelewa tu, yaani mmeiba fomu za madwani na wabunge kama mnajiamini si muweke fair play muoneJamaa naona anatafuta kiki ya uchaguz baada ya kuona nobody cares
Selikali iko busy kuhudumia wanachi, haiwezi kupoteza muda jujibizana na kina Lisu.Wanaweza kumjibu? Wao kila swali wanaloulizwa wanajibu "esijiara, sitigilazi, zahanati 400, ndege na flayiova" huo ndiyo wimbo wanaoimbia kila mtu. Swali lolote wanaloulizwa majibu ndiyo hayo
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Daah Tanzania jamani huyu kafuata gari lake bovu anaambiwa jamaa ana akili kubwa sana huyu anayetamka ana akili ya namna gani?
Msije mkamwacha mwuaji wenu akayakabili Mateso peke yake maana huku kwenye mitandao mnajifanya mnamkingia kifua, msiojulikana mtajulikana pumbavuHahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Huna lolote we MamlukiWengi wanaweza kudhani kuwa polisi wamemuogopa Lisu,ila wengi humu wamesahau kuwa moja kati ya jambo lililoshauriwa sana hata humu ndani ni kuachwa kwa Lisu aendelee na mambo yake hasa kwa wakati huu ili kusaidia kupoteza nguvu nyingine ya ushawishi wa kisiasa.
Anachojua Lisu ni kuwa polisi watamkamata ndio maana kaenda polisi ili lengo la polisi litimie na yeye apate kile anacho kihitaji,lakini wanachofanya polisi ni kumtoa nje ya kile ambacho Lisu anakitaka kwa muda huu.
Kitendo cha polisi kumkamata Lisu kwa wakati huu kitamtengenezea sauti ya kisiasa katika uchaguzi huu na mataifa yataona kuwa serikali inafanya hujuma kumzuia Lisu asishiriki katika uchaguzi huu.
Hata ujio wake,alirejea karibia na uchaguzi akiwa tayari amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama chake kwa kigezo kikubwa cha kutafuta muingiliano kati yake,polisi na serikali.
Anachofanya sasa ni kujairbu kutafuta sababu ya muingiliano huo ambao kwa kiasi kikubwa unakwepwa na polisi.
Tukumbuke kwamba,uchaguzi huu atakua na ulizni wa serikali kama mgombea wa uraisi na polisi wanauwezo wa kumakamta lakini hatamkamata kwa wakati huu.
Walikuwa wana nafasi ya kumkamata hata akiwa ndani ya ndege pale uwanjani,walikini walimuacha makusudi kabisa na hata mikutano yake mingine iliyoendelea polisi walikuwepo na wata muacha na yeye ana jua hilo ndio maana karudi wakati huu.
UN ipi?? Unaelewa ulichokiandika?Hii kesi ina moto!! Robert katishia kuwaomba UN waje kupeleleza pamoja na mambo mengine ya waliopotea na wengine kutekwa.
Kinachosubiriwa ni trigger tu ili mambo yaanze rasmi.
Hii si habari nzuri!!
Tunampa hadhi ya juu,mgombea wa urais Kwa tiketi ya chama cha chadema,au yeye atambui nafasi anayo wania.,......afande Sirro alisema wapelelezi wake wanamtafuta TL lakini hawajampata.
..sasa leo TL kaenda mpaka kituoni kilichowashinda kumkamata na kumhoji ni nini?
Kalifuata au kaenda kuliangalia?!
Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Kila kitengo hujiendesha Kwa kanuni na taratibu zake, haiwezekani mtu kutoka anakokujua Yeye atake matakwa yake Yeye yafuatwe!! Utakuwa upumbavu
Tuliza mshono dawa iwaingie taratiiiibuWamuhoji wapi wakati dereva kamficha na hakuna kumpa gari mpaka aseme kinagaubaga