Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Tundu Lissu ni level nyingine aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OH Sawa....Mimi nipo upande wa pili. Ila Lissu ni kichwa
SI MLIKUWA MNASEMA ARUDI AHOJIWE? NA MLISEMA AKIKANYAGA TU TANZANIA MNAMKAMATA, SASA KAJILETA MNAKUWA WAPOLE TENA!Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
HATA MIMI NASHANGAA. HIVI IGP BADO NI SIRRO YULE ALIYESEMA LISSU AKIKANYAGA TU ARDHI YA TANZANIA ANAMKAMATAKudadadeki! Huyu mwamba ni untouchable. Yaani mikwara yote ile ya polisi kutishia kumkamata soon atakaporejea sasa imegeuka barafu.
Anadiriki kutinga hadi kwenye 18 zao na wanaishia kujichekesha tu. Hivi kulikoni jamaa anaogopwa hivi?
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Unaambiwa Murotto alitaka kutokea dirishani lakini imeshindikana .
Shombo tupu mpaka kwenye tenenge yako....endelea kugeuzwa geuzwa mwili na akili kama gogoAti anashangaaa!!!.. kibaraka akumbuke ana kesi.. huyu ni hatari sana.. hata mwili wake.. hakukumbuka ya gari.. hadi kamaliza kukamilisha ubaraka wake aliotumwa na mabeberu.. hafai kuwa kiongozi wa nchi hii hata kwa sekunde moja.. tukisema ilikuwa mipango yao wenyewe.. bado munapiga kelele. Ati nini!!!😅😅😅😅😅
Magufuli 2020 💯
Ni Lake mkuu jasho lakeWagombea Uraisi Wenzie wako kampeni Lisu anahangaika na gari bovu kupeleleka gereji
Ruttashobolwa =Rutashobokerwa! Hopeless.Hahahah huyu mgonjwa amekuwa kitukp kweli sasa kajipeleka ana shangaa hawajamuhoji wakati hakuwepo na alisha sema kuwa wao ndio walimshambulia sasa sijui anataka wamuhoji nini wakati majibu anayo mkononi hahahaha mgonjwa bwana
Tayari wanajulikana vizuri na mkuu wa shambulio Daud Bashite hana raha anashinda makanisani mchana na usiku anakesha kwa waganga wa kienyeji kwa mujibu wa Le mutuzWasiojulikana mpaka wajulikane.
Wazazi wako na wewe binafsi dishi linayumbaT.A LISSU dishi limeyumba
Hawana uhakika October 28 itakuaje maana huenda Lisu akawa mkazi wa Chamwino na mtukufu kurejea chato.Hahahahah [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kweli
Huwa wanamsimanga akiwa mbali
Ila akiwa karibu wote wanakuwa washikaji
Hahaha JF kama uwezo wa kuchambua ni mdogo lazima utafuta comment tuBladha naona jamaa imembidi ahisi kajinyea mpaka kuifuta comment[emoji23][emoji23]
Hahitaji kushobokewa tokea lini atake wewe na wasiojulikana mmshobokee? nyinyi ni maadui lazima aendee kupiga kelele mpaka muache ushetani wenu woteUzuri selikali yangu na ccm sijaona mtu akimshobokea huyo jamaa yenu anaehangaika kama kuku anataka kutaga.
.
Watu wamemuacha ajihangaishe weee, hasira zikiisha atatulia ale ugali vizuri.
Ha ha ha ha haHahaha JF kama uwezo wa kuchambua ni mdogo lazima utafuta comment tu
Analazimisha ahojiwe sasa ili atuhumu kwamba polisi wametumwa na Magufuli kumharibia ratiba zake za kampeni.CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji dhidi ya Mh. Lissu la tarehe 7 September 2017.
Mh. Lissu aliambatana na mgombea mwenza wake Mh. Salum Mwalimu na alipokelewa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP Giles Muroto.
Katika mazungumzo yake na SACP Muroto, Mh. Lissu alisema kwamba ameamua kuja yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa kulipata hilo kwa njia zingine kushindikana.
Kwa upande wake, SACP Muroto alimweleza Mh. Lissu kwamba Jeshi la Polisi mkoani hapo linahitaji muda zaidi ili kujiandaa kulikabidhi gari hilo kwake.
Aidha, SACP Muroto alimweleza Mh Lissu kwamba Jeshi la Polisi linamhitaji atoe maelezo kwa Jeshi la Polisi kuhusu kushambuliwa kwake September 2017.
Mh. Lissu alijibu kwamba yeye yuko tayari kutoa maelezo polisi kwa tarehe na muda utakaokuwa muafaka kwa pande zote mbili.
Mh. Lissu alisisitiza mshangao wake kwamba hadi sasa, takriban miaka mitatu tangu kushambuliwa kwake, Jeshi la Polisi halijafanya uchunguzi wowote, ikiwemo kumhoji yeye na dereva wake Adam Bakari Mohamed, licha ya kuahidi kwamba lingefanya tangu Mh. Lissu akiwa hospitalini nchini Kenya.
Imetolewa leo Alhamis, Agosti 27, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Bora Lissu ameenda polisi, hapo karudisha mpira kwa polisi na atatoa maelezo kwa muda sahihi kwake, polisi wasiendelee kusema Lissu anawakwepa kutoa maelezo, na baada ya hayo maelezo ya Lissu polisi itabidi waueleze umma wa watanzania uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu umefikia wapi.
Angekufa mngetaifisha Gari lake? acha visingizio vya kishamba toka kolomijeAnalazimisha ahojiwe sasa ili atuhumu kwamba polisi wametumwa na Magufuli kumharibia ratiba zake za kampeni.
Trust me. This guy is an insane.
CCM hawataki ushindani wa wazi ndiyo maana walipenyeza figisu figisu kila kona kuwahujumu chadema, wanajinadi kununua Ndege kujenga SGR na miradi mingi lakini hawajiamini na bado wapo busy kuwahujumu chadema.Ni kweli wapo wafia chama au pro jamaa yangu. Lakini unaposoma comments zao, unavunjika moyo.
Ninachokiona kwa team hiyo , ni kuwa hawakuamini kama jamaa angelirudi na kuendelea na maisha kama kawaida . Na pia hawaamini ktk mawazo mbadala au tofauti na mapenzi yao.