DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tamko la RPC wa Dodoma linaashiria kuna ajenda fichika dhidi ya Lisu. Muda utasema.
 
Nimejiuliza sana kuhusu ule mwaliko wa Lissu kwenda Marekani na kuwa atakuwa mtoa mada katika mkutano ule wa Wanasheria mahiri duniani.
Kulikuwa na tetesi kuwa zinaweza kutumika njama kama zile za kwenda Rwanda kuzuia asiondoke. Lakini Lissu amekwepa mtego huo kwa kukaa kimya.
Jee yawezekana lililotokea ilikuwa njia mbadala kuhakikisha haendi huko aliko alikwa? Just thinking aloud
 
ISAIAH 43:2"When you walk through the waters I will I will be with you;and through the rivers they they shall not overwhelm you;
when you walk through fire you shall not be not be burned,and the flame shall not consume you"
MAY your CREATOR stand so high against the cowards and the terrorists who are after your soul.MAY GOD revenge and avenge for you-TUNDU ANTIPASI LISSU,
 
Sasa mheshimiwa polepole ulijua hili ukaandaa kabisa hii au hauko makini ? Au kiwewe cha taarifa ?
 

Attachments

  • IMG-20170907-WA0028.jpg
    65.2 KB · Views: 28
Wewe jamaa nakuonaga mnakfi tu cjui ni aina gani ya mwanasheria, naamini lengo la post yako ni kutetea tabaka tawala
 
Mungu akutetee Tundu Lisu bado unahitajika kwnye hili Taifa
 
Wamefyatua risasi nyingi wakijua hawezi kupona,

hiyo Nissan jeupe itafutwe,itapatikana,sidhani kama nchi nzima hizo gari zinazidi 10000,
kuna maeye witness,iwe hotel,gest ama hata barabarani lazima wameiona hiyo gari ikilandalanda,
haiwezi kupotea tu kama mvuke,waangalie na mikoa ya jirani,hiyo gari ndo itawakamatisha kama kila raia atakuwa macho
 
Hovyooooo, selikali za CCM mna kila kitu kinacho hitajika kufanya masahihisho, mlitumia wingi wenu kupitisha mikataba mibovu mkatumia mamlaka ya dola kuilinda mikataba na upuuzi wote mlo ufanya hapo awali. Kama kweli mmebadilika hebu tumieni uwingi wenu,mamlaka yenu,nguvu zenu.....vitumieni kufanya masahihisho kwani bado mnavyo. Nani aliwahi kuwazuia CCM na serikali yake wasifanye walicho kikusudia????.....ni Nani huyo???........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…