DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tena mji usio na barabara nyingi ukitokea singinda na hii moja na hii ya kutoka morogoro mbili
 
nani wa kutafuta sasa kwa dhati
 
NIPO JF TANGU MCHANA NASURI HABAR NJEMA KWA MADAKTARI WENYE MA UPDATE HUKO HOSP
 
Kwaiyo mkuu unataka kusema lisu amepigwa risasi kwasababu alitembea na mke wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA HIYO CCM WALIJUA HUYU BWANA YATAMTOKEA YA KUMTOKEA TOKA MWEZI AUGUST?
Kweli mwenyezi anajua kuumbua.

Hiyo taarifa kwa umma ya Lumumba niilipangwa kutolewa tarehe 7 Sept 2017 wakaitoa mapema zaidi au tukio halikupangwa kufanyika leo
 
Nakuunga mkono Mkuu, binafsi Mimi so shabiki wake wala hats taarifa zake huwa sipendi hats kuzisikia, wafuasi wake mniwie radhi kwa hii comment kuitoa muda mbaya, mungu amsaidie alone mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Aah aaah aaaha na hata ungekua mfuasi wake.... bado hajafikia iyo hatua...

Baada ya kumuweka babu yako umuweke uyo jamaa... ndio nin.

Uyo aliyeleta uhuru tu anakaa kwa nadra...



Sent from "La -Vista"
 
Kabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.
Hakika mkuu,Jamaa ndio katufikisha hapa,ukiwa kinyume na mkuu wewe ni adui,nikikumbuka tukio la Nape,mbele ya macho ya waandishi na camera mtu wa usalama alithubutu kutishia kwa bastola,Mambo kama yale yanareflect negative energy ya watawala wetu inavyowatafuna watendaji ktk mamlaka zetu za usalama
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…