technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tena mji usio na barabara nyingi ukitokea singinda na hii moja na hii ya kutoka morogoro mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana soni hao!! Hii inakupa picha nani walitaka roho ya Lisu [emoji85] [emoji40]ushindwe na ulegee. kwa taarifa yako bunge lina utaratibu wa kugharamia matibabu ya wabunge wake.
uwe na aibu kupost vitu hopeless.
nani wa kutafuta sasa kwa dhatiWamefyatua risasi nyingi wakijua hawezi kupona,
hiyo Nissan jeupe itafutwe,itapatikana,sidhani kama nchi nzima hizo gari zinazidi 10000,
kuna maeye witness,iwe hotel,gest ama hata barabarani lazima wameiona hiyo gari ikilandalanda,
haiwezi kupotea tu kama mvuke,waangalie na mikoa ya jirani,hiyo gari ndo itawakamatisha kama kila raia atakuwa macho
Nakuunga mkono Mkuu, binafsi Mimi so shabiki wake wala hats taarifa zake huwa sipendi hats kuzisikia, wafuasi wake mniwie radhi kwa hii comment kuitoa muda mbaya, mungu amsaidie alone mapemaHakuna ujinga kama uo.... hatufanani akili humu wala uwezo wa kufikiri
Sent from "La -Vista"
Kuna watu walienda Uingereza,India South RSA, Canada hawakurudi wakiwa hai.Mnataka muhimbili ili mkammalizie?
Tumewashtukia mapema
Kuna ya Arusha piaTena mji usio na barabara nyingi ukitokea singinda na hii moja na hii ya kutoka morogoro mbili
Ulipenda afe? Mapaka hayafi?Lissu ana roho ya Paka, Hajafa!!!!
Kwaiyo mkuu unataka kusema lisu amepigwa risasi kwasababu alitembea na mke wa mtuMimi ni mtanzania mzalendo sina chama ninampenda mtanzania yeyote yule bila kujali ni chama gani, dini gani, kabila gani, rangi gani, sehemu gani aliyotoka n.k.
Kwa suala hili la ndugu yetu kipenzi chetu Tundu Lisu kupigwa risasi wengi wetu wameshapeleka mawazo upande mmoja fulani hivi...... lakini kumbuku Rais wetu mpendwa ni mtu mwenye nia ya maendeleo mimi kama mzalendo mwingine yeyote nampongeza rais mpendwa kwa sababu kazi anayoifanya ya kula pande mbili ndani ya chama chake na upande wa pili pia, kila mzalendo tanzania mwenye uchungu na nchi hii lazima asifu kazi za rais mpendwa wa watanzania ndg Magufuli. Lakini kumbukeni rais ni kama binadamu mwingine awaye yote na amepania kufanya kazi ile kwa nguvu zote, kwa hiyo kwa ninavyomwelewa anataka afanye kazi bila kelele nyingi, au kama ukiona kosa sehemu basi kama mtu maarufu unaweza kumuarifu kuwa kuna kosa mahali badala ya kuongelea hadharani ili alifuatilie, najua kwa yale mambo anayoyafanya ya kuzuia siasa si kikatiba lakini vilevile sis wananchi hatutaki siasa majukwaani bali tunataka tuone matendo na bila shaka nitamuunga Rais Mkono kwa hili la kutaka kufanya kazi zaidi kuliko siasa za majukwaani.
Pili, kwa mwazo yangu kuna coicedence hapa, jinsi rais anafanya kazi ya kupamban na wanyonyaji wa uchumi wetu, wana mipango mingi sana ya kuharibu ile mipango ya rais wetu, mfano haya makinikia ya almasi kuna mabepari walikuwa wanavuna kama wako kwao vile sasa hii nguvu ya rais wanataka kuhamisha na kufuta la makinikia ili tuanzishe habari nyingine za misiba na tusahau mambo ya wizi mkubwa kwenye madini yetu, maana wanajua wakimuua mtu popular ana critical kama Mwanasharia mzalendo Tundu lisu ambaye kwa sasa habari ya mjini ni Lisu, baada ya zile Buldozer wetu na Rais wetu Magu.
Sasa basi tuwe na uvumilivu yawezeka ni watu tu wana nia ya kuhamisha hili suala la makinikia na kuanza habari za msiba ili tusahau. tushirikiane na serikali yetu tumpate huyo adui anayetaka kuifanya hii ndege yete "TANZANIA" isitakeoff yaani isianze kupaa.
Ndugu zangu niwaeleze kitu kimoja mliomo humu hakuna wazungu, au mtu kutoka nje ya tanzania anayetaka watanzania tuendelee kwa hiyo lazima tuwe wamoja katika hili, tushirikiane na serikali mpaka hao watu wapatikane.
maana kubwa ya kuandika hili ni kuwa kwa sababu tu ndug yetu tundu lisu amesumbuana na serikali basi wengine wanaweza kutumia hi nafasi kufanya uhalifu wao na wananchi wakaamini yule aliyekuwa anamsumbua ndiye aliye muua tuwe macho sana.
Nawapenda watanzania wote hayo ni mawazo yangu, tujenge nchi tuwe wazalendo badala ya kuwa washabiki
aksanteni
KWA HIYO CCM WALIJUA HUYU BWANA YATAMTOKEA YA KUMTOKEA TOKA MWEZI AUGUST?
Kweli mwenyezi anajua kuumbua.
Aah aaah aaaha na hata ungekua mfuasi wake.... bado hajafikia iyo hatua...Nakuunga mkono Mkuu, binafsi Mimi so shabiki wake wala hats taarifa zake huwa sipendi hats kuzisikia, wafuasi wake mniwie radhi kwa hii comment kuitoa muda mbaya, mungu amsaidie alone mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu,Jamaa ndio katufikisha hapa,ukiwa kinyume na mkuu wewe ni adui,nikikumbuka tukio la Nape,mbele ya macho ya waandishi na camera mtu wa usalama alithubutu kutishia kwa bastola,Mambo kama yale yanareflect negative energy ya watawala wetu inavyowatafuna watendaji ktk mamlaka zetu za usalamaKabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.
AhahahaTamko la RPC wa Dodoma linaashiria kuna ajenda fichika dhidi ya Lisu. Muda utasema.