mwanamajimbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 601
- 152
Siyo kwake tu na familia yake,mungu ampe ulinzi imara mh.tundu lissu wakati huu mgumu kwake binafsi na familia ,yake .
How many gunmen were there? ( detective)Whoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)
Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo
Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads
Very easy.Son of a teacher and you still don't get it, kama nia ni kuua wangejipanga vipi kwenda kummalizia hospitali ya rufaa Dodoma???