DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mi
Whoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)

Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo

Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads
This might be true
 
Mkuu anakwenda kutibiwa nje ya nchu usiku huu, na mpango unafanywa na mamlaka ya anga ambayo ipo chini ya serikali.

Mkuu, mfumo ukitaka kukumaliza huwezi kuchomoka. Tujitahidi kuondokana na hizi cheap conspiracy theories.
 
On the way to ZIMBABWE bongo bahati mbayaa.. Get well soon Tundu Lisu
 
Kutaka Kumuua Tundu Lissu ni kosa kubwa la kimkakati ambalo hasara yake ni kubwa kuliko faida.kama angeachwa awe alivyo. mtu kama tundu lissu ni mfano wa aina flan ya mende ambao unapomuua yeye hapo hapo hutotoa mayai ambayo yatajikuza na kutotoa watoto ambao hukua na kuendelea na maisha. unamuua mmoja wanazaana wengi toka kwa uliye muua.

sasa wengi wameshakuwa na maswali mengi na wale waliokuwa wanamdharau sasa wanaanza kuona kuwa tundu lissu mambo qmbayo amekuwa akiongea ni kweli na hivyo amehatarisha maslahi/ustawi wa watu au taasisi flan. kumbe kama angeachwa tu watu wangesema pengine ni mropokaji. tunapaswa kuwa na uvumilivu wa kisiasa. tukubaliane kutokukubaliana.

ilijengeka dhan kuwa tundu lissu ni kichaa...lakini sasa wameprove kumbe si kichaa. hakuna taasisi yoyote duniani inayoweza kumuua kichaa anayeiseme vibaya. ingemwacha tu sababu anafahamika kuwa ni kichaa. kutaka kumuua kicha anayekusema unawapa watu maswali waanze kurudia kusikiliza maneno yote aliyowah kuyasema kichaa huyo. lissu ameingia kwenye hatua kubwa kwenye daraja la mashujaa. daraja la wanamapinduzi, daraja la mwana harakati na daraja la mzalendo msemaji huru.

naasa. tindu lissu hafai kuuawa. watazaliwa wengi siku hiyo ambayo atauawa na watakua kwa kasi kubwa sana. musimuue tundu lissu jaman. mwachezi tu awe alivyo

Sirikali sana imekuwepo kwa walio husika na shambulio la kutaka kumuua Tundu Lissu mpaka sasa haijafahamika nani hasa mhusika ingawa kumekuwa n speculations nying hasa ukizingatia alishawah zungumzia hili
 
utaka Kumuua Tundu Lissu ni kosa kubwa la kimkakati ambalo hasara yake ni kubwa kuliko faida.kama angeachwa awe alivyo. mtu kama tundu lissu ni mfano wa aina flan ya mende ambao unapomuua yeye hapo hapo hutotoa mayai ambayo yatajikuza na kutotoa watoto ambao hukua na kuendelea na maisha. unamuua mmoja wanazaana wengi toka kwa uliye muua.

sasa wengi wameshakuwa na maswali mengi na wale waliokuwa wanamdharau sasa wanaanza kuona kuwa tundu lissu mambo qmbayo amekuwa akiongea ni kweli na hivyo amehatarisha maslahi/ustawi wa watu au taasisi flan. kumbe kama angeachwa tu watu wangesema pengine ni mropokaji. tunapaswa kuwa na uvumilivu wa kisiasa. tukubaliane kutokukubaliana.

ilijengeka dhan kuwa tundu lissu ni kichaa...lakini sasa wameprove kumbe si kichaa. hakuna taasisi yoyote duniani inayoweza kumuua kichaa anayeiseme vibaya. ingemwacha tu sababu anafahamika kuwa ni kichaa. kutaka kumuua kicha anayekusema unawapa watu maswali waanze kurudia kusikiliza maneno yote aliyowah kuyasema kichaa huyo. lissu ameingia kwenye hatua kubwa kwenye daraja la mashujaa. daraja la wanamapinduzi, daraja la mwana harakati na daraja la mzalendo msemaji huru.

naasa. tindu lissu hafai kuuawa. watazaliwa wengi siku hiyo ambayo atauawa na watakua kwa kasi kubwa sana. musimuue tundu lissu jaman. mwachezi tu awe alivyo

Sirikali sana imekuwepo kwa walio husika na shambulio la kutaka kumuua Tundu Lissu mpaka sasa haijafahamika nani hasa mhusika ingawa kumekuwa n speculations nying hasa ukizingatia alishawah zungumzia hili
 
Jaribio la kuchukua maisha ya Losu limenistua sana!
Watanzania hatujafikia mahali pa kifedhuli kama hapa tunaposhuhudia.

Ikiwa tatizo hii ni la kisiasa, mkondo unaoweza kujitokeza unaleta hofu kubwa.
Polisi na serikali havina budi kuwapata hao majahili ii kutuliza hofu iliyojitokeza.

Mwalimu hakuiacha nchi ikibugikwa na hofu kama hii.
 
MPENDA HAKI,TUNDU LISU. MPENDA NCHI YAKE, MUNGU AKUPE UZIMA BABA,
IMENIUMA SANA.
BBC: TUNDU LISU YUPO HAPA AMEWASILI NAIROBI KWA MATIBABU ZAIDI.

UMMI MWALIM.. WAZIRI WA AFYA: TUNAFANYA KILA LIWEZEKANALO TUMPELEKE MGONJWA HOSPITAL YA RUFAA MNH DAR ES SALAAM. AKIWA CHINI YA UANGALIZI WA DR.BINGWA AMBAE NI KATIBU WANGU MKUU.[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well Said mkuu chizi maarifa kitambo sikuoni

UKWELI MCHUNGU ILA MEZA TU UTAPONA
 
Back
Top Bottom