g click
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 2,427
- 505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu... Hivi ni kwelie? Aisee ukiukwaji wa sheria unaeleke kukaba shingo za watanzania waziwazi!Ushahidi huu hapa hii barua iliandaliwa mwezi mmoja uliopita kusubiri tukio.
View attachment 583583
This might be trueWhoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)
Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo
Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads
Mkuu anakwenda kutibiwa nje ya nchu usiku huu, na mpango unafanywa na mamlaka ya anga ambayo ipo chini ya serikali.Whoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)
Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo
Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads
BBC: TUNDU LISU YUPO HAPA AMEWASILI NAIROBI KWA MATIBABU ZAIDI.MPENDA HAKI,TUNDU LISU. MPENDA NCHI YAKE, MUNGU AKUPE UZIMA BABA,
IMENIUMA SANA.
Dharau saaana..... badala ya kumuombea... we unamfananisha na membe...Kumkompea na mende sio fresh...
Kipi ni kipi?BBC: TUNDU LISU YUPO HAPA AMEWASILI NAIROBI KWA MATIBABU ZAIDI.
UMMI MWALIM.. WAZIRI WA AFYA: TUNAFANYA KILA LIWEZEKANALO TUMPELEKE MGONJWA HOSPITAL YA RUFAA MNH DAR ES SALAAM. AKIWA CHINI YA UANGALIZI WA DR.BINGWA AMBAE NI KATIBU WANGU MKUU.[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
😎😎😎BBC: TUNDU LISU YUPO HAPA AMEWASILI NAIROBI KWA MATIBABU ZAIDI.
UMMI MWALIM.. WAZIRI WA AFYA: TUNAFANYA KILA LIWEZEKANALO TUMPELEKE MGONJWA HOSPITAL YA RUFAA MNH DAR ES SALAAM. AKIWA CHINI YA UANGALIZI WA DR.BINGWA AMBAE NI KATIBU WANGU MKUU.[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika na Mimi nitachangiaWatupe namba ya m-pesa, tigopesa au yoyote tutume pesa Lissu apone, kwani shingapi bana tunatumia kila siku.. Tupeni namba tuchange