Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Huku kwetu wanasema tunafichwa. Mavijanaa wanataka kuingia kitaa. Haiwezekani. Kuna mwisho wa ujinga.
Hiyo mizuzu inafanya mizalendo kwa misnema yao isiyoisha kumbe mipigaji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu wanasema tunafichwa. Mavijanaa wanataka kuingia kitaa. Haiwezekani. Kuna mwisho wa ujinga.
Ushahidi huu hapa hii barua iliandaliwa mwezi mmoja uliopita kusubiri tukio.Mkuu chunga kauli zako. Ukiombwa ushahidi juu ya hili uliloliandika unaweza kuutoa. Tuvipe nafasi vyombo vya ulinzi kufanya kazi zao.
Watupe namba ya m-pesa, tigopesa au yoyote tutume pesa Lissu apone, kwani shingapi bana tunatumia kila siku.. Tupeni namba tuchangeWah Wabunge. Hali ya Mhe. Lissu inaendelea kuimarika. Keshafanyiwa upasuaji wa awali.
Bunge na Serikali wako tayari kugharamia matibabu ndani ya nchi. Nimesisitiza kuwa hatuko tayari kumwacha nchi kwa sasa si kwa sababu ya uwezo wa madaktari wetu na hospitali, bali kwa sababu za kiusalama. Hawako tayari kugharamia. Tunalazimika kugharamia wenyewe.
Naendelea na mipango ya kumrusha leo kwenda Nairobi Aghakhan Hospital kupitia Dar Airport ambapo air ambulance inamsubiri.
Gharama hazijajulikana lakini ndege tu from Dom Dar Nairobi ni +_ US$10,000. Bado matibabu tutajua mbele.
Namwomba Mhe Kiwelu aanze emergecy fund mobilization. Angalao isipungue shs 500,000/- kwa Mbunge. Chama nacho kitachangia.
Nawashukuru kwa ushirikiano.
Freeman Mbowe
Mkt na KUB
Madaktari wanasema ataweza kusafirishwa baada ya saa limoja na nusu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka japo hali ni ya majonziwatu wasiojulikana ni sirikali