DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mkuu chunga kauli zako. Ukiombwa ushahidi juu ya hili uliloliandika unaweza kuutoa. Tuvipe nafasi vyombo vya ulinzi kufanya kazi zao.
Ushahidi huu hapa hii barua iliandaliwa mwezi mmoja uliopita kusubiri tukio.
b3f05f27f550dc6bde69a5ecfc4a41e1.jpg
 
Wah Wabunge. Hali ya Mhe. Lissu inaendelea kuimarika. Keshafanyiwa upasuaji wa awali.

Bunge na Serikali wako tayari kugharamia matibabu ndani ya nchi. Nimesisitiza kuwa hatuko tayari kumwacha nchi kwa sasa si kwa sababu ya uwezo wa madaktari wetu na hospitali, bali kwa sababu za kiusalama. Hawako tayari kugharamia. Tunalazimika kugharamia wenyewe.

Naendelea na mipango ya kumrusha leo kwenda Nairobi Aghakhan Hospital kupitia Dar Airport ambapo air ambulance inamsubiri.

Gharama hazijajulikana lakini ndege tu from Dom Dar Nairobi ni +_ US$10,000. Bado matibabu tutajua mbele.

Namwomba Mhe Kiwelu aanze emergecy fund mobilization. Angalao isipungue shs 500,000/- kwa Mbunge. Chama nacho kitachangia.

Nawashukuru kwa ushirikiano.

Freeman Mbowe
Mkt na KUB

Madaktari wanasema ataweza kusafirishwa baada ya saa limoja na nusu.
Watupe namba ya m-pesa, tigopesa au yoyote tutume pesa Lissu apone, kwani shingapi bana tunatumia kila siku.. Tupeni namba tuchange
 
Naomba niseme,
Lissu ni kaka yangu na amekua akinisaidia mengi sana muda mrefu. Tokea avamiwe na kuumizwa nimeshindwa kufanya chochote,imekua ni kama msiba kwangu Mimi na familia yangu pamoja na WANASINGIDA wenzangu wengine.

Kumbuka,

Kila kiumbe kitakufa na kozea ardhini, kila nafasi itaonja mauti. Hakuna mwenye uwezo wa kulikwepa kaburi, Mungu huyu huyu tunayemwabudi hadhihakiwi.

Huwezi kuitoa roho ya mtu kwa sababu ya kuipamba dunia. Mwisho wako utakua ni mbaya na hukumu yako ni moto wa jehanamu.
Uwe umeratibu mipangu ya mauaji au mashambulizi, uwe umeshiri moja kwa moja kutaka kuua. Wewe ni mwana wa ibilishi na makazi yenu ni sehemu.


"Qul nafsi dhalikatul maut"
 
Mara nyingi assassin anapofail lazima atauliwa tu kupoteza ushahidi,
hao ma assasin yawapasa kujua wanaweza kugeukwa mda wowote na kutandikwa risasi kisha ikaletwa scene nyingine hapa
 
Where you see wrong or inequality or injustice, speak out, because this is your country. This is your democracy. Make it. Protect it. Pass it on.
 
Democracy must be built through open societies that share information. When there is information, there is enlightenment. When there is debate, there are solutions. When there is no sharing of power, no rule of law, no accountability, there is abuse, corruption, subjugation and indignation.

-Atifete Jahjaga
 
  • Thanks
Reactions: AWM
If we desire a society of peace, then we cannot achieve such a society through violence. If we desire a society without discrimination, then we must not discriminate against anyone in the process of building this society. If we desire a society that is democratic, then democracy must become a means as well as an end.


-Bayard Rustin
 
Nimefarijika kuona update ikisema Mh Lissu anaendelea vizuri,Mungu wetu ni mwaminifu hatomuacha pekeake atamponya tu.kwa pamoja kwa imani zetu mbalimbali tumkumbuke ktk sala zetu kwani huyu ni assert kubwa sana kwa taifa letu.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom