DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Nape Alitolewa/tishiwa bastola hadharani tukakomaa na mbio za harmorapa.. Hatujaambiwa aliyefanya silaha kachukuliwa hata gani mpaka Leo.. Kitu cha clouds kilivamiwa na watu we nye silaha za kijeshi wakiongozwa na princess Hatujaambiwa hatua yoyote iliyochukuliwa! Kapotea Ben saanane mwaka unaenda Sasa.. Tumefikaje hapa? Eeeh mungu kama upo tuokoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAMA KWELI HARAKATI ZA KUPATA NAFASI YA KUGOMBEA KITI CHA URAISI mwaka 2020 KWENYE CHAMA CHA WACHAGA ZIMEANZA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

MNA RUHUSIWA KUNIPONDA.

Ukimaliza kuwasoma hawa wawili ndipo utajua kwamba uhakika CCM ni Chama Cha Mauaji
 
Attachments

  • IMG-20170907-WA0037.jpg
    IMG-20170907-WA0037.jpg
    63.9 KB · Views: 33
  • IMG-20170907-WA0030.jpg
    IMG-20170907-WA0030.jpg
    27.5 KB · Views: 35
Nape Alitolewa/tishiwa bastola hadharani tukakomaa na mbio za harmorapa.. Hatujaambiwa aliyefanya silaha kachukuliwa hata gani mpaka Leo.. Kitu cha clouds kilivamiwa na watu we nye silaha za kijeshi wakiongozwa na princess Hatujaambiwa hatua yoyote iliyochukuliwa! Kapotea Ben saanane mwaka unaenda Sasa.. Tumefikaje hapa? Eeeh mungu kama upo tuokoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Leo jamaa hakuwepo kwenye upokeaji wa Ripoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi tena mbona hiyo taarifa ya pole kutoka Lumumba ni 7/08/2017.... duh out of deadline...
Du, mi sikuishtukia. Kumbe walitoa pole na kulaani kabla ya tukio. Pole Pole ni hatari. Alijuaje kama haya yangetokea? Mmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.

"Out of the abundance of the heart the mouth speaks" kama chuki ndio zimejaa ndani yake atakemea vipi??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nape Alitolewa/tishiwa bastola hadharani tukakomaa na mbio za harmorapa.. Hatujaambiwa aliyefanya silaha kachukuliwa hata gani mpaka Leo.. Kitu cha clouds kilivamiwa na watu we nye silaha za kijeshi wakiongozwa na princess Hatujaambiwa hatua yoyote iliyochukuliwa! Kapotea Ben saanane mwaka unaenda Sasa.. Tumefikaje hapa? Eeeh mungu kama upo tuokoe
Mkuu mambo haya yanasikitisha sana!
 
Ili uhakikishee kamaa zile risasi zimempataa kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](jocking)
Maana sio kwa wingi ule wa matundu. Kweli jamaa ana Mungu. Acha tuzidi kumuombea. Watanyooka tu hao CCMScrow
 
Kwanini mnapenda kutunga story, hao waliompa huduma ya kwanza pale dodoma ni nani kama sio ma dr wa serikali. Tuchunge uandishi wetu.
Whoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)

Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo

Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads
 
Back
Top Bottom