Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it so dictates.
Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji kuwa wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.
Scenario 3
Makundi yasiyofurahia kuwa overtaken na Lissu (2020 race) ndani ya Chadema. Polisi wachunguze simu na mawasiliano mengine ya Lissu kujua aliwasiliana na nani na alizungumza nini muda wa mwisho kabla ya kupigwa risasi.
Scenario 4
Lissu kwa Siasa zake ameji-expose kwa agents 'provocateur operatives'. Hawa hutumia mitafaruku katika jamii kupanga na kutekeleza mauji kwa lengo la kuchagiza vurugu katika jamii ili wafanikishe malengo yao ya kiuchumi. Kwa mfano, wakati huu nchi inapigana vita ya uchumi dhidi ya mabeberu na makampuni yao, inawezekana kabisa mabebru hao kutengeneza mazingira ya kuingiza nchi kwenye vurugu na machafuko ili serikali ishindwe kushughulikia vita ya kulinda uchumi na badala yake ielekeze nguvu zake kukabiliana na vurugu. Unaweza kuanzia
hapa kufikiri motive ya Gazeti la
The Washigton Post katika kadhia ya Lissu. Intel ya serikali inaweza kuchukua clue hii pia. Kwa nini matukio mengine yakitokea hapa nchini hawayatangazi promptly kama hili? There must be hidden motive, which must be established.
Tusubiri