DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Binafsi nimesikitishwa na hii taarifa, nina hofu na treatment atakayoipata hapa bongo. Wasije kumpandikizia sumu mwilini, ccm ni zaidi ya wachawi

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Kuna viongozi wa ccm walipigwa risasi kibiti pamoja na police wengi tu lakin hatukuona rambirambi wala kusema chochote ila lisu sababu yeye ni mbunge ndiyo tuwe mbele kwake haipo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuchangia hulazimishwi na mtu endelea kufurahia kelele za nini wewe bhana!. Rambirambi ni hiari usitokwe na povu kisa mchango.
 
Watanzania tukitaka tuwe na umoja tusiwe tunabagua tungekuwa na huruma tungeungana sana na police wetu wengi wamepotea maisha kibiti pamoja na viongozi wengi sana, nao ni binadamu wana familia zao zilizokuwa zinawategemea lakin watanzania hatufanya chochote wala kutoa michango ila leo sababu ni lisu ndiyo tuungane kumuombea niapinga hadi mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wema sepenga mbona kampotezea?.. naona Aunty Ezekiel na Lulu tu hapo
 
Katika Jina la Yesu kristo wa Nazareth.
Zile risassi zilizo mkosa Tundu Lissu nazifinyanga upya katika ulimwengu wa roho na kuzirudisha kwa kila mmoja kwenye meza iliyotumika kupiga mchoro wa kumuua Tundu Lissu.

Risasi hizi zirudi kwao kwa mwendo uleule nia ileile na kuleta madhara yaliyokusudiwa kwa Tundu Lissu kwa uhakika zaidi.
Ya kwanza impate kifuani mwenyekiti wa kikao. Wengine kwenye meza ya kikao chamchoro ziwapate vifuani kama walivyoazimia kwa Tundu Lissu.

Shimo wamelichimba sasa watumbukie wenyewe
Amen
 
Acha kukashifu ukristu wewe. Sema katika jina la shetani
 
Hata mimi ndio nashangaa mkuu ila ma dokta ndio wanaamua, labda waliona ni kesi kubwa kwao so haikua na jinsi zaidi ya kumpeleka Nairobi!! tumuombee apone kwa kweli!!
Maombii maombiii
kwa haili ya uwanja ilivyo n lazjma wamwondoe mapema dodoma na kama akuwa vizurj kumbUk
n longsafari lazima aandaliwe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…