DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

e7d3cc9a8afda461a3ae2b16c233e634.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za Lisu BBC.
Habari za Lisu VOA
Habari za Lisu K24 na CitizenTV
Habari za Lisu SABC.
Hizi ndizo channel nilizotupia macho. Zote zimetangaza habari za Lisu
nyengine ni Washington Post
Amnest International n.k
 
Pole nyingi zimfikie Mheshimiwa Tundu Lissu.

Familia yake.

Ndugu zake.

Watu wake wa karibu.

Wanasiasa wenzake.

Na WaTanzania wote kwa ujumla.

Uzima ndicho tunachomuombea.

Hii si Habari njema hata kidogo.

Hatari sana
 
[emoji848]hivi James delicious nae ni mtu maarufu[emoji40]......mungu amponye mh. Tundu lissu , bado watanzania wengi wanamuhitaji.
 
Mungu asiyeshindwa akupe maisha marefu...na akungie dhidi ya mikopo michafu ya wanaudhuruo mwili!
Na wote tuseme aamen!
 
Hii inasikitisha sana ila bado kuna maswali yananisumbua kichwa mpaka sasa kwa mfano hivi huyu mpigaji risasi ni kwamba alikuwa anafyatua risasi hovyo maana naona nyingine amezipiga mpaka kwenye usawa wa mlango kwa chini ya kiti cha abiria au alikuwa anataka kumlenga unyayo? Risasi nyingi sana zinaonekana kama zilipigwa eneo la usawa wa mabega, kifua na shingo, je Lissu alikuwa anaendesha au alikuwa abiria? Kwa uwingi wa risasi zilizopigwa na zilizompata ambazo nimesikia ni zaidi ya tano ni kweli kwa nguvu ya silaha za risasi hizo damu haikuweza kuruka au kusambaratika mpaka kufika kwenye kioo? Na je, baada ya ajali hiyo Mh Lissu alitoka nje ya gari kupitia mlango upi wa dereva au wa abiria? Hii ni kwasababu naona mlango wa abiria hauna kabisa hata tone la damu lililodondokea au michirizi ya damu kutiririka? Hakuna mdau yeyote ambaye alifanikiwa kuzipata picha za ndani ya gari ilivyokuwa tuone kilichotokea? Inanisumbua sana akili yangu hii kabla hatujaanza kutupia shutuma kwa ndugu zetu wa mlango wa kati..
Maswali ni mengi sana. Unafuatiliwa toka bungeni na bado dereva anaamua kwenda nyumbani!
 
Isije kuwa ndio mpango mzima, kwamba hizo ripoti za kamati za bunge, baada ya kutolewa jana bungeni zimekuwa mwiba kwa wahusika!!
Mwiba ni kwanini Kiti na Serikali wamewachezea shere watanzania kupitia Ripoti hizo? Zilitakiwa zijadiliwe bungeni halafu yatoke maazimio ya Bunge kwa serikali. Lakini kwa kuwa kilichomo kwenye ripoti kinawagusa akina Dk. Kalemani Kiti kimeziwahisha taarifa hizo bungeni ambako mjadala ungeweka wazi mambo ambayo yangewagusa akina Kalemani na wengine. Hii nchi bado sana!
 
Acha kukashifu ukristu wewe. Sema katika jina la shetani
Aka!

Andika sala yako mwenyewe kisha umtaje huyo Mungu wa Dunia hii uliye mwandika hapo juu.
Ukristo ni personal relationship yangu na Yesu, Who are you between me my faith and my Jesus?
 
Duuuu nchi yangu jaman ndo tumefikia hapa????hiki ndicho kinachoniliza.why??mbona haya mambo sisi hatujazoea jamani??mbona sisi watanzania vita zetu na siasa zetu huishia kwenye maneno lkn jion tunakula pamoja,tunacheza mpira pamoja tunafuturu pamoja.ni nani huyo anataka kuharibu amani ya nchi yetu??Big NO!hatukubali!Tunamuomba Mungu atuondolee huyo adui.si mtanzania huyo.mtanzania sifa yake anakasirika kweli lakini mwisho wa siku anasemehe na hapendi kuona damu ikimwigika.utaratibu wetu ni kuzungumza na kuyamaliza.hiki kitu ni kipya.Big NOOOOO.hatukubali.damu zi kitu kizuri.damu ikimwagika inapiga kelele na inapanda mbegu ya chuki.jamani mataifa ya huko mashariki ya kati si mnaona yanayotendeka?ni kwasababu walianza kama ivi,damu ilimwagika kidogo kidogo hawakujali.tukemee hii hali kuanzia mdogo mpaka mkubwa.tusikubali uovu huu.tumwombe Mungu atuondolee mafedhuli hawa wanaotaka kuharibu nchi yetu na amani yetu.na sisi watanzania tutashinda.
 
Paradigm shift has caused a realm shift.
This is just a beginning.
 
kwasababu zake na faida yake binafsi ..et sababu tu ninguli washeria ,, wakati ndio maana nahisi hata hizi sheria zetu nizakipuuzi kabisaaaaa .

Tundu lissu ,angekua CHINA TAYARI ANGEKUA AMENYONGWA .NAHUO NDO UKWELI.

N.B SISHABIKII TUKIO LILOMPATA MAANA NJE YASIASA NIBABA ANAMKE NAWATOTO NANDUGU.

Hii ni taabu ya mazoea ya kunyonga na kunyofoa kichwa.
Kama unaizimia China si ungewish wewe ungekuwa huko ili ufaidike na kunyongwa!
Au ndiyo maana serikali inajaza wachina ili siku moja wawe wapiga kura wenu muweke mambo kaa China?

Kuwaza kwingine ni shida.
 
ukweli ni kuwa watu wanampenda zaidi tundu lisu kuliko yule wa magogon ambaye kila siku kazi kulalamika, ooh mara tunaibiwa, mara tunapigwa na wazungu, mara nchi imechezewa, yaan ni full kulialia utafikir hii nchi iliwah kuongozwa na chama kingne tofaut na mashetan ya lumumba.
 
Isije kuwa ndio mpango mzima, kwamba hizo ripoti za kamati za bunge, baada ya kutolewa jana bungeni zimekuwa mwiba kwa wahusika!!

wahusika wakina nani ?
hivi wew hizi ripoti kila siku watu walewale hujastuka tu? na sasa tunaambiwa hao watu hutumwahuko kwa kazi maalum.
 
Back
Top Bottom