Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Ukristo msingi wake Ni Biblia. Ndicho kipimo tulichopewa. Hakuna sehemu tumetakiwa kuomba visasi kwenye Biblia. Nifundishe nami hiyo verse. Nafanya hivi kutimiza lile ndiko, tuonyane sisi kwa sisi. Otherwise jinsi ilivyo Roho yako ndio uhusiano wako na Mungu. Ila Kumbuka, huwezi kumpenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia mwanadamu unayemwonaAka!
Andika sala yako mwenyewe kisha umtaje huyo Mungu wa Dunia hii uliye mwandika hapo juu.
Ukristo ni personal relationship yangu na Yesu, Who are you between me my faith and my Jesus?