DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Aka!

Andika sala yako mwenyewe kisha umtaje huyo Mungu wa Dunia hii uliye mwandika hapo juu.
Ukristo ni personal relationship yangu na Yesu, Who are you between me my faith and my Jesus?
Ukristo msingi wake Ni Biblia. Ndicho kipimo tulichopewa. Hakuna sehemu tumetakiwa kuomba visasi kwenye Biblia. Nifundishe nami hiyo verse. Nafanya hivi kutimiza lile ndiko, tuonyane sisi kwa sisi. Otherwise jinsi ilivyo Roho yako ndio uhusiano wako na Mungu. Ila Kumbuka, huwezi kumpenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia mwanadamu unayemwona
 
Wakati tunaendelea kuomba afya ya Lissu itengemae, tunapaswa pia kuliombea Jeshi la Polisi liweze kuwatambua na kuwadhibiti wahusika wa tukio maana kama hawatadhibitiwa basi tusishangae kuona wamemlipua na mwingine...

[HASHTAG]#Get[/HASHTAG] well soon Lissu.
 
Acha kuwa na "yawezekana" nyingi moyoni. Utahamisha goli. Mshukiwa anajulikana. Mgomvi wake kisiasa anajulikana. Anayemsakama kila siku anajulikana. Kwa nini umkwepe na kuvamia wengine. Be specific and to the right point!
 
kama watu wanaweza kumuua ntu nchana wa jua kali basi huyu aliye chukuliwa kimya kimya nadhani anahesabiwa mbele ya haki mbele za mungu.
 
Anae toa pole kinafiki na anae saidia kimya kimya bora nani au unataka atoe kauli twitter na facebook ndo uridhike binafsi sipendi panya anae ng'ata na kupuliza wengi sana hawaja post kitu machungu yaliyo ndani ya mioyo yao je unayajua? Je unajua effort yake kwenye hili swala mwenye uwezo kasema hawezi kugharamia matibabu huku kasema anasikitishwa si unafki huu
 
Mnajifanya mmeguswa wakati hata bakuli hamtembezi
Wamempeleka Nairobi tutawasiliana nao ikiwezekana wamlete huku matibabu ya Risasi washazoe na MTU ukipigwa tumboni hauwezi kufa ukishafika Stive Biko academic Hospital, JHB,UTH hata great Skill ya Cape Town akiletwa hapa matibabu hayo ni bure ni passport na address yako tuu..watu waliopata ajali matibabu juu ya Serikali hata update Nchi yeyote huko..
 
Maadui wakuu wa Lissu ni Timu Mbowe na Timu EL kisa uenyekiti. Wachache wameshagundua haswa ukikumbuka yaliyowapata Akina Wangwe na ZZK walipotaka kugombea uenyekiti
 
Back
Top Bottom