Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Mwiba ni kwanini Kiti na Serikali wamewachezea shere watanzania kupitia Ripoti hizo? Zilitakiwa zijadiliwe bungeni halafu yatoke maazimio ya Bunge kwa serikali. Lakini kwa kuwa kilichomo kwenye ripoti kinawagusa akina Dk. Kalemani Kiti kimeziwahisha taarifa hizo bungeni ambako mjadala ungeweka wazi mambo ambayo yangewagusa akina Kalemani na wengine. Hii nchi bado sana!
wanaogopa maazimio ya bunge hata aibu hawaoni bunge limekuwa la kijinga kabisa.