DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

70b3a563d476b1d7413678836d80b073.jpg

Mnaanza kuhamisha magoli, nyie ndiyo mumefadhili shambulio hili mnafikiri mtaishi milele.
 
Thou seest, O my Lord, Thy suppliant waiting at the door of Thy bounty, and him who hath set his hopes on Thee clinging to the cord of Thy generosity. Deny him not, I beseech Thee, the things he seeketh from the ocean of Thy grace and the Daystar of Thy loving-kindness.

Powerful art Thou to do what pleaseth Thee. There is none other God save Thee, the Ever-Forgiving, the Most Generous.
 
ndio waliomsafirisha kwenda kwenye matibabu..
akishirikiana na mbowe..
wanaoitafuta roho ya Lissu alishawataja na gari yao..
Usalama waliotumwa kuwashambulia wafuasi wa maalim ndio serikali ilisema walionewa..
unahitaji degree hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

70b3a563d476b1d7413678836d80b073.jpg
Ujinga mdogo umezaliwa nao na huu ujinga mkubwa umekua nao na mijezi yako..
Ugua ww nitume salamu za pole kwako nikutulize mihemko hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya taarifa kuhusu kupigwa risasi Mh. Tundu Lissu jana mchana, kuna taarifa pia toka ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa wakae chonjo na tayari kudhibiti maadamano au mikusanyiko yeyote ( kama itatokea) yenye lengo la kulaani kupigwa risasi mh. Lissu.

Pona mapema ndugu Lissu.
 
Kila siku humu ulikuwa unafungua threads za chuki dhidi ya Tundu Lissu leo eti unamuombea?

BTW kuna mtu amesema hakuna sheria inayomzuia muuaji kulia msibani.

Chuki yenu dhidi ya Lissu tunaijua na angekufa ndio ingekuwa sherehe kwenu kwasababu ndio mtu pekee aliyekuwa anawanyima usingizi.

Haya furahini na roho zenu.
 
achen ujinga wenu nyie, sasa mlitaka aje kwenye familia yenu awatangazie kuwa amempa pole mh lissu? angalien vitu vya kuandika saa hz wanapigana kuokoa maisha ya lissu uku manyumbu wanataka atoe pole , kwaiyo angemwambia tu pole pasipo kumsaidia chochote iyo lole yake ingemponya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom