DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mungu aingilie kati kuokoa maisha ya Tundu Lissu ila nimeumia sana kuona watu wachache wanajichukulia kutaka kutoa uhai kwa Mtanzania yeyote kutokana na matokeo ya nyuma ya utekaji pia.hapa Johannesburg gari likikufatilia mitaa miwili mitatu ujue wao ndio watakaouawa hakuna mjadala tena hapo hata wawe wazee wakionekana wanataka kufanya uharifu wewe ndio unawazuia na kuwapiga Risasi mbinu ya kufatilia ni kizamani wanachokifanya ni kwenda kukusubiri nyumbani ili wakuzuie wewe na pia wanauawa sana vijana wa Tembisa na Soweto nimesikitika sana kwa tukio hilo kwa kweli...
mkuu rudisha basi ile avatar picha yako tuliyokuzoea ya Ronaldinho na zidane
 
Eti aliyepigwa risasi ya tumbo hawezi kufa,acha basi sifa za kijinga Kweli unaijua risasi wewe?.Sema inategemeana ikiingia ndani ya tumbo (abdomen) imearibu organ gani na kwa kiasi gani.
Ikitokea imearibu vitu Kama bandama, ini au ata utumbo Kwa kiasi kikubwa,nafasi ya kufa nayo ni kubwa.
Kwahiyo unamuombea Lissu afe siyo?ama kweli kuna watu na viatu
 
Namwombea Uzima Lisu na Ulinzi kwa wazalendo wengine wasimamao kwa haki za Watanzania.

Ninaomba kufahamishwa kutoka kwa wanaomfahamu PK.

Naye huwa anatoa matamko baada ya kuangamiza wanaomchallenge?

Kisha huwa anadhibiti media na watu wengine wanaotaka kufanya lolote kuonyesha hisia za uchungu walionao?

Vipi labda kuhusu mikusanyiko ya wapaza sauti? Huwa inaaruhusiwa kule?

Naomba kujua kwa ufahamu tu kwa kuwa tuko katika utandawazi.
 
kumbe kuwa gentleman sio lolote....dont judge anybody...huwez jua, labda yeye ndo ka-finance ndege kumpeleka mgonjwa kenya!!!!...na kama ikiwa nikisemacho ni kweli, itakua sawa na sie tuliotuma pole kwakutumia FB,WHATSAPP & TWITTER.....Dont judge mr gentleman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali ni mengi sana. Unafuatiliwa toka bungeni na bado dereva anaamua kwenda nyumbani!
Mkuu kwakua amekua akifuatiliwa toka siku za nyuma bila madhara yoyote,nafikiri ata pale dereva wake alipomuambia kua anahisi kuna gari inawafuatilia haikumtia wasiwasi sana aliamini huenda ni walewale jamaa wanaomfuatilia hivyo hawakua na sababu ya kuanza kukimbia hovyo.

Sijui gari ile iliyofanya tukio ilisimama umbali gani na gari ya TL lakini wasiwasi uliwapata baada yakufika na ndio pale dereva akamueleza kua asishuke kwanza kuangalia upepo wa gari ile inayowafuatilia ina malengo gani.

Kwakua yeye ni mtu wakukamatwa kila siku huenda pia alijua ni askari tu waliotumwa tu hivyo hakushuka ili kuwasubiri labda wametumwa kuja kumkamata.
 
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

70b3a563d476b1d7413678836d80b073.jpg
Sio kila anae sema pole ya haraka anamaanisha. Wengne wanafki bwana mwachen mzee wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataisingizia serikar sana wakati wenyewe hata kubadirishana uwenyekiti wanashindwa sasa kwa nini wasiuwane kama wanaona kuna mtu anakiherehere!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tawaleni milele na pia msife wala kuugua.
Waliozuia siasa na kutaka ruhusa ya kumuua TL wanajulikana.
Alitoa taarifa ya kufuatwafuatwa na akataja wahusika je ilipewa uzito?
Acheni siasa nyepesi. Jengeni hoja na si matumizi ya mabavu.
Ninyi si watanzania kushinda wengine.
Msizuie midomo ya kuwasema
 
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

70b3a563d476b1d7413678836d80b073.jpg
Wewe utakuwa ni mpagani!
 
Unamuuliza nani sasa? jishughulishe na usumbue akili funga safari uende kule kwa PK utakuja na majibu ya swali lako
 
Back
Top Bottom