Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
Ujinga mdogo umezaliwa nao na huu ujinga mkubwa umekua nao na mijezi yako..Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
Hivi HAWA watu wasiyojulikana wanapatikana mkoa gani hapa bongo?Huku Bongo wanaitwa"WATU WASIOJULIKANA"
Hongera sana kwa kufurahia yaliyo tokeaMnajifanya mmeguswa wakati hata bakuli hamtembezi
Pole sana na hongeraSijakaririshwa tanzania haifanani na mosul kule syria