mkuu rudisha basi ile avatar picha yako tuliyokuzoea ya Ronaldinho na zidaneMungu aingilie kati kuokoa maisha ya Tundu Lissu ila nimeumia sana kuona watu wachache wanajichukulia kutaka kutoa uhai kwa Mtanzania yeyote kutokana na matokeo ya nyuma ya utekaji pia.hapa Johannesburg gari likikufatilia mitaa miwili mitatu ujue wao ndio watakaouawa hakuna mjadala tena hapo hata wawe wazee wakionekana wanataka kufanya uharifu wewe ndio unawazuia na kuwapiga Risasi mbinu ya kufatilia ni kizamani wanachokifanya ni kwenda kukusubiri nyumbani ili wakuzuie wewe na pia wanauawa sana vijana wa Tembisa na Soweto nimesikitika sana kwa tukio hilo kwa kweli...
Kwahiyo unamuombea Lissu afe siyo?ama kweli kuna watu na viatuEti aliyepigwa risasi ya tumbo hawezi kufa,acha basi sifa za kijinga Kweli unaijua risasi wewe?.Sema inategemeana ikiingia ndani ya tumbo (abdomen) imearibu organ gani na kwa kiasi gani.
Ikitokea imearibu vitu Kama bandama, ini au ata utumbo Kwa kiasi kikubwa,nafasi ya kufa nayo ni kubwa.
Umefurahi sanaUkweli ni kwamba hali yake ni mahututi baadhi ya risasi zimepenya kwenye figo na bandama na kwenye inni
Source BBC kiswahili
Me too kwakweli daLowassa nilishamsema humu watu wakinishambulia lakini kama kuna watu hatari Chadema basi ni Lowassa na Sumaye sijawai wakubali kama ni wapinzani
Mkuu kwakua amekua akifuatiliwa toka siku za nyuma bila madhara yoyote,nafikiri ata pale dereva wake alipomuambia kua anahisi kuna gari inawafuatilia haikumtia wasiwasi sana aliamini huenda ni walewale jamaa wanaomfuatilia hivyo hawakua na sababu ya kuanza kukimbia hovyo.Maswali ni mengi sana. Unafuatiliwa toka bungeni na bado dereva anaamua kwenda nyumbani!
Sio kila anae sema pole ya haraka anamaanisha. Wengne wanafki bwana mwachen mzee wetuMzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
Tawaleni milele na pia msife wala kuugua.Wataisingizia serikar sana wakati wenyewe hata kubadirishana uwenyekiti wanashindwa sasa kwa nini wasiuwane kama wanaona kuna mtu anakiherehere!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa ni mpagani!Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
Wewe utakuwa ni mpagani!Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
wanapatikana nyumba nye..U.PeHivi HAWA watu wasiyojulikana wanapatikana mkoa gani hapa bongo?