Azole
Senior Member
- Sep 8, 2017
- 180
- 220
Mpiga picha ndo aliepiga ile pichaView attachment 586771 Katika hii picha inayosambaa mitandaoni inaonesha gari la lisu lililopigwa risasi.
Ukiitazama vizuri picha hiyo kwenye mwangwi wa mlango wa gari utaona mpiga picha wa gari hiyo akivalia koti la suti rangi ya khaki na shati blue na suruali nyeusi.(upande wa kushoto wa kitasa)
Kichwa chake hakionekani lakini ni mtu mwenye kitambi flani hivi.
Pia kwa upande wa kwenye kitasa(upande wa kulia wa kitasa) mwangwi wake uaonesha kama vile kuna gari ndogo nyeupe (muundo wake ni ngumu kuutambua)
Mpiga picha huyu anaonekana akiwa mwenyewe tu(kivuli ni kimoja tu)
Katika picha za hospitali au zile za baada ya tukio sijaona mtu mwenye haiba ya mpiga picha.
Je ni nani?
Je ni nani aliyepost hii picha kwa mara ya kwanza?
KIZAZI CHA KUHOJI!!
Sent using Jamii Forums mobile app