Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rangi gani kama sio khaki?Dah braza kweli unamakengeza ,hilo koti la khaki mbona halionekani. Af mkuu bila shaka wewe ni mstaafu maana kama vile naona muwasho
HajulikaniView attachment 586771 Katika hii picha inayosambaa mitandaoni inaonesha gari la lisu lililopigwa risasi.
Ukiitazama vizuri picha hiyo kwenye mwangwi wa mlango wa gari utaona mpiga picha wa gari hiyo akivalia koti la suti rangi ya khaki na shati blue na suruali nyeusi.(upande wa kushoto wa kitasa)
Kichwa chake hakionekani lakini ni mtu mwenye kitambi flani hivi.
Pia kwa upande wa kwenye kitasa(upande wa kulia wa kitasa) mwangwi wake uaonesha kama vile kuna gari ndogo nyeupe (muundo wake ni ngumu kuutambua)
Mpiga picha huyu anaonekana akiwa mwenyewe tu(kivuli ni kimoja tu)
Katika picha za hospitali au zile za baada ya tukio sijaona mtu mwenye haiba ya mpiga picha.
Je ni nani?
Je ni nani aliyepost hii picha kwa mara ya kwanza?
KIZAZI CHA KUHOJI!!
mpiga picha aliyekuwa mwenyewe...Interesting to know and easy to find.Sisi tunataka tuwajue waliopiga risasi, na siyo mpiga picha wa gari!
....yaani nyie mazwazwa wa lumumba sijui akili zenu zina mavi??
Nadhani ndo mnajiharibia zaidi kuliko kujaribu ku-save face hapa.. Mngenyamaza kimya ingewasaidia zaidi..
NA kura yako ulimpa mtu ili atuongezee walemavu halafu yake yeye apande chati!mh! Mie tokea nilivyosoma ile habari kuwa Lissu hatarudia hali yake ya zamani nimeumia sana! Yaani mtu anapata ulemavu wa hivi hivi tu! imenisikitisha sana
sijakuelewa, ina maana sijui kuandika wewe ndie uliyeniandikia siku ya kupiga kura au unaongea nini hicho?!NA kura yako ulimpa mtu ili atuongezee walemavu halafu yake yeye apande chati!