DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Dah braza kweli unamakengeza ,hilo koti la khaki mbona halionekani. Af mkuu bila shaka wewe ni mstaafu maana kama vile naona muwasho
 
Sisi tunataka tuwajue waliopiga risasi, na siyo mpiga picha wa gari!
....yaani nyie mazwazwa wa lumumba sijui akili zenu zina mavi??
 
View attachment 586771 Katika hii picha inayosambaa mitandaoni inaonesha gari la lisu lililopigwa risasi.
Ukiitazama vizuri picha hiyo kwenye mwangwi wa mlango wa gari utaona mpiga picha wa gari hiyo akivalia koti la suti rangi ya khaki na shati blue na suruali nyeusi.(upande wa kushoto wa kitasa)

Kichwa chake hakionekani lakini ni mtu mwenye kitambi flani hivi.

Pia kwa upande wa kwenye kitasa(upande wa kulia wa kitasa) mwangwi wake uaonesha kama vile kuna gari ndogo nyeupe (muundo wake ni ngumu kuutambua)

Mpiga picha huyu anaonekana akiwa mwenyewe tu(kivuli ni kimoja tu)
Katika picha za hospitali au zile za baada ya tukio sijaona mtu mwenye haiba ya mpiga picha.

Je ni nani?

Je ni nani aliyepost hii picha kwa mara ya kwanza?

KIZAZI CHA KUHOJI!!
Hajulikani

Jr[emoji769]
 
TCRA wanajua,subiri uchunguzi ukamilike utamjua mpiga picha...
 
Sisi tunataka tuwajue waliopiga risasi, na siyo mpiga picha wa gari!
....yaani nyie mazwazwa wa lumumba sijui akili zenu zina mavi??
mpiga picha aliyekuwa mwenyewe...Interesting to know and easy to find.
 
an original is easy to recorgnise but difficult to find!let me ask you *Nani alikuwa wa kwanza kufika eneo la tukio?ukimtaja huyo basi ndio huyohuyo alepiga hyo pcha!
 
Unataka kusema gari ya bei hivyo waifanyie bongo muvie? Bei ya kioo chake tu sawa na madaraka manne ya shule ya kata.
 
Back
Top Bottom